Sasa msingi wa hayo maandiko ni upi ? kwanini hivyo vitabu visiwe 200 maana vilikuwa vingi. Hayo yote ni juhudi za Kanisa KatolikiHujauliza swali.
Wewe uliza swali lolote la kimaandiko
Sasa unauliza 105 kwani ipo kwenye maandiko
Ama labda ni namba za kiromani
Utashangaa sanaDuhhh
Vile vitabu vyenu vya pombe ni vya mitume wenu wakiromani.Sasa msingi wa hayo maandiko ni upi ? kwanini hivyo vitabu visiwe 200 maana vilikuwa vingi. Hayo yote ni juhudi za Kanisa Katoliki
Petro alikuwa hajui kusoma wala kuandika lakini alikabidhiwa funguoJifunze kuandika kisha uje
ACHA UWONGO, Yohana wa ufunuo hakuwa ndugu kwa YesuUtashangaa sana
Hayo padri hatakuambia
Yesu alimwambia mwanamke mtunze mwanao(yohana) na alikuwa akizungumza na mariamu
Pia biblia inasema yohana alikuwa ni ndugu wake na yesu.
Na ukisoma biblia sehemu imeandikwa MWANAFUNZI ALIEPENDWA SANA NA YESU mwisho wa kitabu cha yohana inamtaja kuwa alikuwa yohana
Alikuwa ndie mdogo kuliko mitume wote
Mariamu hakumzaa yesu tuu,
Yatafakari hayaSasa msingi wa hayo maandiko ni upi ? kwanini hivyo vitabu visiwe 200 maana vilikuwa vingi. Hayo yote ni juhudi za Kanisa Katoliki
Hata hiyo biblia unayotumia ni ile ile ila Martin luther ndio alipunguza idadiVile vitabu vyenu vya pombe ni vya mitume wenu wakiromani.
Huwezi ukaviingiza kwenye biblia mtakatifu .
Haya niliokuandikia yasome vizur yafatilie,utaiokoa nafsi yakoACHA UWONGO, Yohana wa ufunuo hakuwa ndugu kwa Yesu
Huwezi kujenga hojaYatafakari haya
Sikuambii kwa chuki
Ila neno la Mungu ndivyo lilivyo linaumiza pale unapokuwa tofauti nalo ama kinyume chake,ila io haibadilishi ukweli haliis
Haya unaweza usiyasikie maisha yako yote.
Ila yatafakari
Hata ukitumia Biblia, huwezi kuthibitishaHaya niliokuandikia yasome vizur yafatilie,utaiokoa nafsi yako
We umeandikwa wapi? Tanzania imeandikwa wapi kwenye maandiko?Aliekudanganya ni nani?
Imeandikwa wapi io??
Huwezi kujenga hoja
Hata ukitumia Biblia, huwezi kuthibiti
We umeandikwa wapi? Tanzania imeandikwa wapi kwenye maandiko?
Kifungu kipi ulichoweka ?Nimekuthibitishia kwa maandiko na vifungu,vingine fatilia kwa kina.
Kama utahitaji sana utanitafuta
Mungu hajengi hoja
Hoja na mitazamo master ni ibilisi
Ukianza kujenga hoja umeshamkaribisha shetani.
Kama apo nimekutumia vifungu na bado huviamini basi hukukusudiwa uamini biblia
Katika mtu popoma sijawahi ona ni weweHiki kizazi hakitakuwa na udhuru siku ya mwisho
Kwamaana ukweli umesema mpaka kwenye mitandao wakaukataa
HatariiiAlimzaa yohana wa ufunuo
Hili nitusi jepesi sana katika aliyopewa Bwana yesu.Katika mtu popoma sijawahi ona ni wewe