Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

Imani ni ufunuo kwa ajili ya watu fulani

Kama wakatoliki ndo wamefunuliwa hivyo na wewe hujafunuliwa bado hayo , basi yaache

Hata Neema ya ukristo tumefunuliwa wachache na ambao hawajafunuliwa hutuona sisi machizi kwahiyo usikonde

Mariam ni mama wa KRISTO YESU hivyo anaweza kweli kukuombea kwa mwanae amini Amin amin
Ata huko wanakouwana israeli vs palestina nako kuna taifa la mungu qchana kusapoti wasio riziki?
 
Hatu mthamini Kwasababu yesu alikuwako tangu zamani kabla ya maria yesu alikawako yeye hana mama ndivyo alivyo sema kwenye biblia "mimi msinione hivi nilikuwako tangu kuwekwa msingi ya dunia"
We unadhani kama yeah angeshuka moja kwa moja toka mbinguni nini kingetokea ndiyo maana ikatumika njia ya kawaida ili watu wasimuogope na wamwamini
 
Imani ni ufunuo kwa ajili ya watu fulani

Kama wakatoliki ndo wamefunuliwa hivyo na wewe hujafunuliwa bado hayo , basi yaache

Hata Neema ya ukristo tumefunuliwa wachache na ambao hawajafunuliwa hutuona sisi machizi kwahiyo usikonde

Mariam ni mama wa KRISTO YESU hivyo anaweza kweli kukuombea kwa mwanae amini Amin amin
Kuna sehemu moja tu ambapo mariamu alijaribu kuwaombea watu kwa yesu ( maji kuwa divai)
Na Bwana yesu alimkaripia
Unadhani angerudia tena
Mariamu aliuzaa ule mwili wa yesu
Ila yesu sio ule mwili.
Yeye alishakuwepobkabla ya ule mwili.
 
Mungu ni mdhihaki wa kwanza wa imani za kishetani,
Soma biblia yako utaona jinsi wapagani walivyofanywa gata kuuwawa kwa amri ya Mungu.
Mungu hajamdhihaki mtu sisi ndio tunamdhihaki Mungu.Na kama matunda ya Matendo yetu ndio yanasababisha tunaadhibiwa.Kutoa kafara za watoto,kuua Albino ili upate hela,kuchukua watu misikule,wanaume kulala na wanaume,baba kumbaka binti, na matendo yote akiyatazama kutoka mbinguni unahisi anafurahi?
 
Mafundisho ya kirumi na vyoote vilivyomo duniani vitapita
Ila neno la Mungu halitakaa lipitwe kamwe
Hata papa abadili neno na amri kama anavyofanya ili biblia iende na wakati.

NENO LA MUNGU halipitwi na wakati,

2 Wakorintho 6:16-18
[16]Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

[17]Kwa hiyo,
Tokeni kati yao,
Mkatengwe nao, asema Bwana,
Msiguse kitu kilicho kichafu,
Nami nitawakaribisha.

[18]Nitakuwa Baba kwenu,
Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
asema Bwana Mwenyezi.
Neno la Mungu ni mapokeo ya kanisa takatifu la Mungu. Miaka zaidi ya 300 baada ya Kristo, kanisa lilianza kabla ya bibilia, eleweni. Alafu kama bibilia Yako Ina vitabu 66 ni kipande cha bibilia. Hakuna ukristo hapo.
 
Mungu hajamdhihaki mtu sisi ndio tunamdhihaki Mungu.Na kama matunda ya Matendo yetu ndio yanasababisha tunaadhibiwa.Kutoa kafara za watoto,kuua Albino ili upate hela,kuchukua watu misikule,wanaume kulala na wanaume,baba kumbaka binti, na matendo yote akiyatazama kutoka mbinguni unahisi anafurahi?
Hayo mbele za Mungu yanasameheka
Ila maandiko yanasema asiyeliamini neno la Mungu ametengwa na mungu milele.
Angalau mmuuaji kuliko muigizaji wa ukristo,na asieliamini neno la Mungu.

Dhambi ni kutokuliamini neno la Mungu linapokuja mbele zako
Wasioliamini wakati wayesu,musa,eliya,daniel,mitume hao hawana nafasi mbinguni kamwe
Ila hao uliowataja angalau mungu anaweza kuwashushia neema
 
katoliki sio kanisa la Mungu, ni kanisa la bikira maria.
Katoliki si kanisa ni dhehebu la kipagani kabisa.
Injili kabla haijafika rumi walikuwa wanaabudu jua mwezi na nyota
Wakisema ni Mungu abba mwana na mama
Ukristo ulipowafikia wakagawanyika vipande.
Wengi wakaendelea na imani io io ya miungu mitatu,baba mama na mwana.

Kama mariamu ni mama wa mungu(wakiroman) basi yohana ni mdogo wake Mungu.

Ndio mana hawawezi kupeleka imani hio kwa wayahudi,kamweee myahudi hawezi kuamini upagani
 
Bikira Maria ni Mama wa Mungu. Tunamheshimu sana. Amejaa neema.
Biblia inasema mungu hana baba wala mama hana mwanzo wa siku wala mwisho wa miaka
Sasa huyu mungu unaemuongelea sio yehova muumbaji
Huyu mungu aliezaliwa ni wakipagani upo sahihi
 
Neno la Mungu ni mapokeo ya kanisa takatifu la Mungu. Miaka zaidi ya 300 baada ya Kristo, kanisa lilianza kabla ya bibilia, eleweni. Alafu kama bibilia Yako Ina vitabu 66 ni kipande cha bibilia. Hakuna ukristo hapo.
Miaka 300 baada ya yesu halikuanza kanisa lilianza romani kama dhehebu la kwanza rumi.

Kanisa la kwanza lilianza Jerusalem
Petro akiwa mchungaji wa kanisa.
Roho mtakatifu akiliongoza kanisa
Ukristo ulikuwepo kabla ya roman catholic.
Unasemaje kanisa lilianza miaka 300 baada ya yesu tena rumi,nawakati injili ilipelekwa na watu rumi??

Huwezi kujipumbaza
 
Miaka 400bk 500bk mnaleta vitabu vya vilivyotungwa na walevi mnavupachika kwenye biblia takatifu.
Vitabu vimetungwa na wanawake.

Mungu alifunga kitabu chake kwa paulo.
Hao ndio waliotokewa na Mungu moja kwa Moja kukiandika,pamoja nawale walioshuhudia maisha ya kristo yesu.

Ukitunga kitabu chako lazima kikubaliane na msingi wa ukristo ,ukiweka kitabu kinapingana na hao mashahidi basi jua alikupa ibilisi.

Hvyo viyabu viliingizwa kwa hila kusapot upagani wa rumi.
Na Mungu aliwaaibisha,watoto wa Mungu wamedumu na biblia ya kweli ya asili tangu mitume.
 
Mroman yupo tayari asikilize vyoote kutoka kwako isipokuwa tuu injili.
Hapo ndipo utaiona sura yake halisi.
Yeye stori za kutungwa na madogma yupo tayari kuamini isipokuwa neno la mungu tuu.

Wakristo waliuwawa kwa kupinga uromani,wafia imani mamilioni kwa mamilion ya wakristo.
Martin,columbus,irenios,luther na wengine wengi walikumbana na hayo.
Soma wafia imani waliuwawa na katoliki,kanisa likajifanya kutubu na kuwaita majina yao majina ya makanisa yao.

Waromani ni Mafarisayo wa wakati huu,ukiwaona ni kama wema na wapole ila ndani mwao ni mbwa mwitu.
Uwezo mkubwa wa ibilisi wa sasa ni kuweza kuigizia ukristo na mambo ya kiungu.

Mathayo 23:27-30
[27]Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote.

[28]Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, bali ndani mmejaa unafiki na maasi.

[29]Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnayajenga makaburi ya manabii, na kuyapamba maziara ya wenye haki,

[30]na kusema, Kama sisi tungalikuwako zamani za baba zetu, hatungalishirikiana nao katika damu ya manabii.
 
Hayo mbele za Mungu yanasameheka
Ila maandiko yanasema asiyeliamini neno la Mungu ametengwa na mungu milele.
Angalau mmuuaji kuliko muigizaji wa ukristo,na asieliamini neno la Mungu.

Dhambi ni kutokuliamini neno la Mungu linapokuja mbele zako
Wasioliamini wakati wayesu,musa,eliya,daniel,mitume hao hawana nafasi mbinguni kamwe
Ila hao uliowataja angalau mungu anaweza kuwashushia neema
Hao wasioliamini unapaswa kuwaombea waliamini neno la Mungu wewe ndio unapaswa kuwa mstari wa mbele kuwaaminisha kwamba Mungu ni kweli kama mitume walivyofanya.Mungu anawapenda wote hata wasioamini na anapenda wamfuate yeye.Usihukumu ndugu zako bali uwaombee
 
Miaka 300 baada ya yesu halikuanza kanisa lilianza romani kama dhehebu la kwanza rumi.

Kanisa la kwanza lilianza Jerusalem
Petro akiwa mchungaji wa kanisa.
Roho mtakatifu akiliongoza kanisa
Ukristo ulikuwepo kabla ya roman catholic.
Unasemaje kanisa lilianza miaka 300 baada ya yesu tena rumi,nawakati injili ilipelekwa na watu rumi??

Huwezi kujipumbaza
Umemuelewa alichosema? Biblia ilikuja miaka 300 baada ya ukristo, sasa wewe endelea kukaza fuvu
 
Miaka 400bk 500bk mnaleta vitabu vya vilivyotungwa na walevi mnavupachika kwenye biblia takatifu.
Vitabu vimetungwa na wanawake.

Mungu alifunga kitabu chake kwa paulo.
Hao ndio waliotokewa na Mungu moja kwa Moja kukiandika,pamoja nawale walioshuhudia maisha ya kristo yesu.

Ukitunga kitabu chako lazima kikubaliane na msingi wa ukristo ,ukiweka kitabu kinapingana na hao mashahidi basi jua alikupa ibilisi.

Hvyo viyabu viliingizwa kwa hila kusapot upagani wa rumi.
Na Mungu aliwaaibisha,watoto wa Mungu wamedumu na biblia ya kweli ya asili tangu mitume.
Hata historia ya Biblia hujui, nilikuuliza mwanzo ukakimbia, Miaka ya 300 tayar biblia ya vitabu73 ilikuwepo, nani sasa alipunguza? ni Martin Luther, na hakuishia hapo tu aliondoa vitabu vingi tu ikiwamo ufunuo wa Yohane lakini baada ya kufa wafuasi wake walivirudisha.
 
Back
Top Bottom