Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,393
- 2,759
Hata Yesu alimwita Herode "MbwehaHili nitusi jepesi sana katika aliyopewa Bwana yesu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Yesu alimwita Herode "MbwehaHili nitusi jepesi sana katika aliyopewa Bwana yesu.
Ata huko wanakouwana israeli vs palestina nako kuna taifa la mungu qchana kusapoti wasio riziki?Imani ni ufunuo kwa ajili ya watu fulani
Kama wakatoliki ndo wamefunuliwa hivyo na wewe hujafunuliwa bado hayo , basi yaache
Hata Neema ya ukristo tumefunuliwa wachache na ambao hawajafunuliwa hutuona sisi machizi kwahiyo usikonde
Mariam ni mama wa KRISTO YESU hivyo anaweza kweli kukuombea kwa mwanae amini Amin amin
We unadhani kama yeah angeshuka moja kwa moja toka mbinguni nini kingetokea ndiyo maana ikatumika njia ya kawaida ili watu wasimuogope na wamwaminiHatu mthamini Kwasababu yesu alikuwako tangu zamani kabla ya maria yesu alikawako yeye hana mama ndivyo alivyo sema kwenye biblia "mimi msinione hivi nilikuwako tangu kuwekwa msingi ya dunia"
Kuna sehemu moja tu ambapo mariamu alijaribu kuwaombea watu kwa yesu ( maji kuwa divai)Imani ni ufunuo kwa ajili ya watu fulani
Kama wakatoliki ndo wamefunuliwa hivyo na wewe hujafunuliwa bado hayo , basi yaache
Hata Neema ya ukristo tumefunuliwa wachache na ambao hawajafunuliwa hutuona sisi machizi kwahiyo usikonde
Mariam ni mama wa KRISTO YESU hivyo anaweza kweli kukuombea kwa mwanae amini Amin amin
Cc. Juma kirobotoKaka ukishavuta mabangi kaa mbali na Simu.
Mungu hajamdhihaki mtu sisi ndio tunamdhihaki Mungu.Na kama matunda ya Matendo yetu ndio yanasababisha tunaadhibiwa.Kutoa kafara za watoto,kuua Albino ili upate hela,kuchukua watu misikule,wanaume kulala na wanaume,baba kumbaka binti, na matendo yote akiyatazama kutoka mbinguni unahisi anafurahi?Mungu ni mdhihaki wa kwanza wa imani za kishetani,
Soma biblia yako utaona jinsi wapagani walivyofanywa gata kuuwawa kwa amri ya Mungu.
katoliki sio kanisa la Mungu, ni kanisa la bikira maria.Yani bila eucharist hakuna kanisa. Katoliki ndio kanisa la Mungu.
Hujajibu kitu.Injili ni ya watu wote,kila taifa,laa uendelee na dhambi kwakuwa amri zilipewa kwa Musa kwa ajili ya israel
Bikira Maria ni Mama wa Mungu. Tunamheshimu sana. Amejaa neema.katoliki sio kanisa la Mungu, ni kanisa la bikira maria.
Neno la Mungu ni mapokeo ya kanisa takatifu la Mungu. Miaka zaidi ya 300 baada ya Kristo, kanisa lilianza kabla ya bibilia, eleweni. Alafu kama bibilia Yako Ina vitabu 66 ni kipande cha bibilia. Hakuna ukristo hapo.Mafundisho ya kirumi na vyoote vilivyomo duniani vitapita
Ila neno la Mungu halitakaa lipitwe kamwe
Hata papa abadili neno na amri kama anavyofanya ili biblia iende na wakati.
NENO LA MUNGU halipitwi na wakati,
2 Wakorintho 6:16-18
[16]Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
[17]Kwa hiyo,
Tokeni kati yao,
Mkatengwe nao, asema Bwana,
Msiguse kitu kilicho kichafu,
Nami nitawakaribisha.
[18]Nitakuwa Baba kwenu,
Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
asema Bwana Mwenyezi.
Hayo mbele za Mungu yanasamehekaMungu hajamdhihaki mtu sisi ndio tunamdhihaki Mungu.Na kama matunda ya Matendo yetu ndio yanasababisha tunaadhibiwa.Kutoa kafara za watoto,kuua Albino ili upate hela,kuchukua watu misikule,wanaume kulala na wanaume,baba kumbaka binti, na matendo yote akiyatazama kutoka mbinguni unahisi anafurahi?
Katoliki si kanisa ni dhehebu la kipagani kabisa.katoliki sio kanisa la Mungu, ni kanisa la bikira maria.
Biblia inasema mungu hana baba wala mama hana mwanzo wa siku wala mwisho wa miakaBikira Maria ni Mama wa Mungu. Tunamheshimu sana. Amejaa neema.
Miaka 300 baada ya yesu halikuanza kanisa lilianza romani kama dhehebu la kwanza rumi.Neno la Mungu ni mapokeo ya kanisa takatifu la Mungu. Miaka zaidi ya 300 baada ya Kristo, kanisa lilianza kabla ya bibilia, eleweni. Alafu kama bibilia Yako Ina vitabu 66 ni kipande cha bibilia. Hakuna ukristo hapo.
Miaka 400bk 500bk mnaleta vitabu vya vilivyotungwa na walevi mnavupachika kwenye biblia takatifu.Neno la Mungu ni mapokeo ya kanisa takatifu la Mungu. Miaka zaidi ya 300 baada ya Kristo, kanisa lilianza kabla ya bibilia, eleweni. Alafu kama bibilia Yako Ina vitabu 66 ni kipande cha bibilia. Hakuna ukristo hapo.
Hao wasioliamini unapaswa kuwaombea waliamini neno la Mungu wewe ndio unapaswa kuwa mstari wa mbele kuwaaminisha kwamba Mungu ni kweli kama mitume walivyofanya.Mungu anawapenda wote hata wasioamini na anapenda wamfuate yeye.Usihukumu ndugu zako bali uwaombeeHayo mbele za Mungu yanasameheka
Ila maandiko yanasema asiyeliamini neno la Mungu ametengwa na mungu milele.
Angalau mmuuaji kuliko muigizaji wa ukristo,na asieliamini neno la Mungu.
Dhambi ni kutokuliamini neno la Mungu linapokuja mbele zako
Wasioliamini wakati wayesu,musa,eliya,daniel,mitume hao hawana nafasi mbinguni kamwe
Ila hao uliowataja angalau mungu anaweza kuwashushia neema
Umemuelewa alichosema? Biblia ilikuja miaka 300 baada ya ukristo, sasa wewe endelea kukaza fuvuMiaka 300 baada ya yesu halikuanza kanisa lilianza romani kama dhehebu la kwanza rumi.
Kanisa la kwanza lilianza Jerusalem
Petro akiwa mchungaji wa kanisa.
Roho mtakatifu akiliongoza kanisa
Ukristo ulikuwepo kabla ya roman catholic.
Unasemaje kanisa lilianza miaka 300 baada ya yesu tena rumi,nawakati injili ilipelekwa na watu rumi??
Huwezi kujipumbaza
Hata historia ya Biblia hujui, nilikuuliza mwanzo ukakimbia, Miaka ya 300 tayar biblia ya vitabu73 ilikuwepo, nani sasa alipunguza? ni Martin Luther, na hakuishia hapo tu aliondoa vitabu vingi tu ikiwamo ufunuo wa Yohane lakini baada ya kufa wafuasi wake walivirudisha.Miaka 400bk 500bk mnaleta vitabu vya vilivyotungwa na walevi mnavupachika kwenye biblia takatifu.
Vitabu vimetungwa na wanawake.
Mungu alifunga kitabu chake kwa paulo.
Hao ndio waliotokewa na Mungu moja kwa Moja kukiandika,pamoja nawale walioshuhudia maisha ya kristo yesu.
Ukitunga kitabu chako lazima kikubaliane na msingi wa ukristo ,ukiweka kitabu kinapingana na hao mashahidi basi jua alikupa ibilisi.
Hvyo viyabu viliingizwa kwa hila kusapot upagani wa rumi.
Na Mungu aliwaaibisha,watoto wa Mungu wamedumu na biblia ya kweli ya asili tangu mitume.