Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Awe mbaguzi kwani atakuwa raisi kwa ajili ya kuongoza wasabato au watz?
Umeelewa alichokiandika?Na unaielewa katiba ya sasa inavyompa mamlaka makubwa Rais aliyepo madarakani kama hana akili kama "mimi ni dola"?
 
Muhimbili ni mali ya Anglican?
 
[emoji2][emoji2][emoji2] uko sahihi wakatoliki Wana mifumo straightforward na sio design za makanisa ya kina gwajima au mwamposa
Uraisi ni taasisi yenye heshima yake.
Sasa umkute Raisi anasali kwenye makanisa ya mazingaumbwe ,mara wajifanye wanafufua watu, mara wanagawa sijui mafuta ya upako wanasali kwenye makanisa ya mabanzi na yaliozungishiwa uzio wa mabati au mapagara ya magorofa ambayo hayajaisha, si utamkuta raisi nae yupo kwenye mkumbo wa kufunga hadi kufa ili kumwona Mungu na kwa kuwa ni Raisi atawashawishi na watanzania wote? Makanisa yanamilikiwa na mume na mke?
 
Nakumbuka lowasa wakati wa kampeni aliingia kanisani akadiriki kusema "na sisi wa kkkt ni zamu yetu" nikajisemea moyoni hapo kajimaliza mwenyewe
Ni kweli na amewaharibia na wengine maana ikitokea mkkkt mwingne watu watajua ajenda yao ni ile ile
 
Kuna mtumishi moja aliwahi niambia kuwa kutokana na kanisa kumiliki taasisi muhimu kama za elimu na afya mapema watu wengi amabao ni elites na powerful wamepita kwao hivyo ni ngumu sana kulitenga kanisa na dola.Hata kukiwa na za ndani namna gani wanazipata tu cause wana watu.
 
Mfano wako hauna uhalisia.
 
Sasa inakuwaje dhehebu lao linachechemea duniani halina ushawishi kama Katoliki!?
Ulaya ya magharibi au iliyoendelea ukipenda asilimia kubwa ni protestants... na u protestant ndo ulikua chachu ya mabadiliko makubwa huko ulaya.

Evangelicals hawachanganyi dini na dola.
 
A
Hahahaha kwamba rais atawashawishi wtz wasile ili wafe wakamuone yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…