Hawajui lile ni Kanisa lenye Dola ndani yake,Majasusi wakumwaga.Utoke Kijijini kwenu Bumbuli uje uwe Rais kwa kubadili dini kienyeji!Anapoteza muda...wakatoriki wanataka mtu aliyekuwa mkatoriki kwa kuzaliwa ama toka hatua za awali
Tizama Nyerere, Mkapa, Magufuli; waukubwani wanakuwaga ni wasaka fursa
Kila mwenye akili alimshangaa sana, Sumaye kipindi anatafuta tafuta aliwahi ongea hivyo, itakuwa kanisa lao lilikuwa linamsukuma msukuma kwa nyuma,Nakumbuka lowasa wakati wa kampeni aliingia kanisani akadiriki kusema "na sisi wa kkkt ni zamu yetu" nikajisemea moyoni hapo kajimaliza mwenyewe
Ubaguzi unaanziaga hapo... Mara dini, mara kabila, mara sura, mara maumbile, mara ukanda, mara elimu!Rais ni muislamu au mkatoliki hua ipo wazi baina ya dini hizo mbili na ni muiko ambao sidhani kama utavunjwa leo wala kesho
Kanisa linakuwa la Mke na Mme , Mme akisafiri mke huku ni mipasho tu kanisani, wenyewe watuhubilie tu fire ili kuwakimbiza wachawi urais wauacheUraisi ni taasisi yenye heshima yake.
Sasa umkute Raisi anasali kwenye makanisa ya mazingaumbwe ,mara wajifanye wanafufua watu, mara wanagawa sijui mafuta ya upako wanasali kwenye makanisa ya mabanzi na yaliozungishiwa uzio wa mabati au mapagara ya magorofa ambayo hayajaisha, si utamkuta raisi nae yupo kwenye mkumbo wa kufanya hadi kufa ili kumwona Mungu na kwa kuwa ni Raisi atawashawishi na watanzania wote? Makanisa yanamilikiwa na mume na mke?
Mkuu unataka utafuniwe kila kitu,nenda hapo kwenye Makumbusho ya Nyerere Butiama,utapata vitabu vingi vya Historia ya maisha yake.Bado haujajibu swali.Nipo hapa Nyakanga naelekea Butiama.
Duuh hii Kali kuliko! Leta proofUISLAMU NA UKATOLIKI ZOTE NI DINI ZA VATCAN.
UKIENDA AGANST NAO UNAUWAWA KAMA KF KENEDY.
MAREKANI ANAPELEKA VATCAN ZAIDI YA 60%
Usipokuwa na uelewa mzuri unanyamaza maana utachekwa. Shule za sekondari nyingi sana za kikatoliki zilichukuliwa. Shule kama Pugu, Tosamganga, Iringa Girls, nk. Seminari ingechukuaje seminari? Ichukue seminari ili isomesha mapadri au? Seminari za kikatoliki zinasomesha wale wanaotarajiwa kuwa mapadre ndugu elewa hivyo.Wanatazama uwiano wa kura sababu linawafuasi wengi ila imetosha zamu ya KKKT ama Anglican sasa
Marais wakatoliki wamekuwa wanalibeba sana dhehebu lao
Wanalipa maeneo makubwa ya ardhi kwa lazima
Ukiwa waziri wa ardhi wewe bishana nao kwenye ardhi huchukui muda utatoka
Pia wamekuwa wanawasapoti kwa vitu vingi mfano kwanini roma shule zake za seminari na vyuo aliachiwa?
Makanisa mengine mpaka leo hayajarudishiwa?
anglican walihangaika wee wakajikuta wanaambulia tu mazengo ambayo sasa ni St johns university
Ila chuo cha ualimu korogwe hosptal ya muhimbili msalato navingne serikali imegoma
Hakuna changamoto za kijinga kama kwenu weweHuo ni mtazamo wako.
Catholic pia Kuna changamoto zake ila kila kanisa lina namna yake ya kufanya mambo.
Wenzetu huko wanajua kuhifadhi mambo yao.
Ila sio kwamba hayapo.
Alaa? Ndio maana ilivunjwa EAMWS kwa kisingizio cha Mlezi Aga khan ni Shia, Mohamed Said hawa wanafunzi wako wako hapa uwedurusishe kunako uga wa siasa wa nchi hii, huwa unatukoshaTena rais muislamu ni lazima kuwa dhehebu la Sunni kwa sababu BAKWATA katiba yake inasema kiongozi mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania atatokana na Sunni..
Zipo nyingi tu mbona.Hakuna changamoto za kijinga kama kwenu wewe
Sasa mtu na mkewe watakukazania wewe wakati na wao wana watoto? Kuna Mchungaji mmoja kanisa lakw limekufa pesa za kanisa wanakula wanaye, wakipiga hata harambee yakununua kitu pesa ikipatika tu mwanaye anakomba zote, waumini wamemkimbia mzee.Pigia mstari, Nyerere katolewa Kijijini na kusomeshwa na Kanisa Katoliki kuanzia Primary mpaka University na mpaka mipango ya kupigania Uhuru ilikuwa inasukwa na Wakatoliki.
Hawa jamaa wana mipango ya muda mrefu miaka ata 100 mbele ni tofauti kabisa na makanisa ya Protestants.
Haikuwa familia ya hohehahe bali hawakuwa na ufunuo wa elimu, wao ilikuwa ukizaliwa tu ukishakuwa ni kuoa na kuolewa na kuzaa tuuu habari za elimu hazikuwepo kabisaUnadhani familia ya Julius ilikuwa kapuku kwamba wangeshindwa kumsomesha?
Kumbe eeeehSio kupenyeza Iko wazi Raisi lazima awe mkatoliki, ni mashart ambayo yapo wazi na hakuna wa kupinga
Mkatoliki aliyeungwa mkia haa ha ha ha sizani!Anapoteza muda...wakatoriki wanataka mtu aliyekuwa mkatoriki kwa kuzaliwa ama toka hatua za awali
Tizama Nyerere, Mkapa, Magufuli; waukubwani wanakuwaga ni wasaka fursa
Kwa nini umewaza hivyo wakati si kweli?Haikuwa familia ya hohehahe bali hawakuwa na ufunuo wa elimu, wao ilikuwa ukizaliwa tu ukishakuwa ni kuoa na kuolewa na kuzaa tuuu habari za elimu hazikuwepo kabisa
Lowasa ndicho pia pia kilimponzaJiepushe na siasa za Sheikh Ponda,utakula mema ya nchi!
Lakini umeelewa na ujumbe umekufikia?Hiyo "r" iwe "l" mkuu!