Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Sio kweli unachokisema.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji106]
 
Jibu ni rahisi sana. Elimu elimu elimu! Angalia mtandao wa chuo kikuu cha SAUT. Chuo kipo strategically ktk kila kanda ya Tanzania hii! Saut ipo Dar, Saut ipo Mwanza, Saut ipo Tabora, Saut ipo Iringa, Saut ipo Mtwara! Hivi mnawasikiaga hawa jamaa na yale majimbo makuu yao yapo wapi na wapi?
 
Wanaoweka viongozi wa juu kama Rais ni usalama wa Taifa.

Baadhi ya usalama wa Taifa ni mapadre na wamo humo kwa kazi maalum.Maana hili kanisa lina mambo mengi mno yasiyo ya kikanisa.
Sasa fikiria kama wao ndio wanaweka Rais,akigombea mwingine wanao uwezo wa kumtengenezea scandal akachafuka na asikubaliwe.
 
Mfano wako hauna uhalisia.
Unatafuta uhalisia upi? Wakatoliki wako single unit wakiwa na well defined chain of command, waprotestants wako wengi huku kila upande ukiwa kivyake hivyo ni ngumu kuwa na nguvu ya pamoja vs RC. hujaelewa tena hapo?
 
Una uhakika Roma wameachiwa shule mkuu
 
Ni kwasababu madhehebu mengine hawajielewi elewi. Anaweza kuingia mfuasi wa Gwajima akaleta mambo yake ya misukule au mfuasi wa McKenzie akaambia watu wafunge mpaka kufa wakakutane na Yesu.
 
Rais akiwa mkristo ni lazma awe mkatoliki japo haipo kwenye katiba.
Nani alikwambia Wakatoliki ni Wakristo? Ndio maana Waislamu na Wakatoliki hawatofautiani. Mkatoliki hana madhara kwa Muislamu na kinyume chake. Hii pia ni MAAGANO ya wale Wachawi 5 (wakiiongozwa na Forojo Ganzel Master) waliotumwa na yule babu wa 1 wa hii nchi kule Bagamoyo waliokubaliana hizo dini 2 tu ndio ziongoze TZ. Lakini wanamaombi wanashughulika nazo punde itabadilika
 
Mara mnasemaga kule wamejazwa mauvccm !! Sasa tuamini kipi ??!!
 
Kuna uzi humu kwamba Katoliki ndo walianzisha uislamu kuwadhibiti Wayahudi. Katoliki na Waislamu lao ni moja.
 
Muhimbili palianzishwa na mvaa kobazi,get your facts right
 
Imagine muwe na Rais anasali Free Church! Bishop wake Mkandamizaji!

Makanisa mengine ukifatilia vizuri unagundua wamiliki halisi ni individuals wapo Marekani, South Africa n.k, Rais anaweza kuendesha nchi kwa maono ya mtu anajiita nabii kumbe mchongo.

Lutheran, Anglican n.k wapo organised wanaweza kutoa Rais ila hawa wa mwendokasi "Unstoppable Fire church" "Jesus Power church' "double touch anointing church" na picha za baba na mama mchungaji kwenye mabango hapana!
 
Wakatoliki huwa wana mipango mingi sana nyuma ta pazia , na raisi akiwa mkatoliki huwa wanapenda pia kumtumia kwa maslahi ya kanisa .
JFK,, raisi pekee mkatoliki aliyehudumu USA. na inasemekana CIA walinusa mipango ya kanisa kuingliia mifumo ya serikali , na inaaminika ni moja ya sababu ya kifo cha JFK ,lengo likiwa ninkunusuru madhara ya maamuzi ya kanisa kwenye serikali.
Ngunu sana kwa mkatoliki kutawala USA
 
Sijakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…