passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Sio kweli unachokisema.Kwangu miki wakatoliki wanapewa urais kwa sababu wao ndio waliosoma zaido hapa Tanzania kuliko madhehebu mengine. Miaka ya 50-60 shule za ukweli zilikuwa za wakatoliki hadi Mwl aliwanyang'anya mashule yao. Wakayoliki walinyang'nywa nyingi kwa sababu walikiwa nazo nyingi sana kila kona ya nchi. Uankuta wengi walisoma seminafi na mbeleni kubadilika. Nakumbuka hata jk alislma seminary. Na hata sasa kanisa linatoa huduma bora za elimu na afya kilankona ya nchi
Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app