Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Kwangu miki wakatoliki wanapewa urais kwa sababu wao ndio waliosoma zaido hapa Tanzania kuliko madhehebu mengine. Miaka ya 50-60 shule za ukweli zilikuwa za wakatoliki hadi Mwl aliwanyang'anya mashule yao. Wakayoliki walinyang'nywa nyingi kwa sababu walikiwa nazo nyingi sana kila kona ya nchi. Uankuta wengi walisoma seminafi na mbeleni kubadilika. Nakumbuka hata jk alislma seminary. Na hata sasa kanisa linatoa huduma bora za elimu na afya kilankona ya nchi

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
Sio kweli unachokisema.
 
Kimsingi Ukristu ni ukatoliki. Hawa wengine waliona masharti magumu wskajitoa, wakawa wanaitwa " waprotestant" kama ingekuwa kwenye Uislam wangeitwa " murtad" hivyo wanafanya mambo mengi ambayo ni kinyume na ukristu na lawama zinakuja kwenye ukristu kumbe walishajitenga siku nyingi na kuanzisha taratibu zao ambazo Zina utofauti na Kanisa la mwanzo
[emoji1787][emoji1787][emoji106]
 
Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?

Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Jibu ni rahisi sana. Elimu elimu elimu! Angalia mtandao wa chuo kikuu cha SAUT. Chuo kipo strategically ktk kila kanda ya Tanzania hii! Saut ipo Dar, Saut ipo Mwanza, Saut ipo Tabora, Saut ipo Iringa, Saut ipo Mtwara! Hivi mnawasikiaga hawa jamaa na yale majimbo makuu yao yapo wapi na wapi?
 
Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?

Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Wanaoweka viongozi wa juu kama Rais ni usalama wa Taifa.

Baadhi ya usalama wa Taifa ni mapadre na wamo humo kwa kazi maalum.Maana hili kanisa lina mambo mengi mno yasiyo ya kikanisa.
Sasa fikiria kama wao ndio wanaweka Rais,akigombea mwingine wanao uwezo wa kumtengenezea scandal akachafuka na asikubaliwe.
 
Mfano wako hauna uhalisia.
Unatafuta uhalisia upi? Wakatoliki wako single unit wakiwa na well defined chain of command, waprotestants wako wengi huku kila upande ukiwa kivyake hivyo ni ngumu kuwa na nguvu ya pamoja vs RC. hujaelewa tena hapo?
 
Wanatazama uwiano wa kura sababu linawafuasi wengi ila imetosha zamu ya KKKT ama Anglican sasa

Marais wakatoliki wamekuwa wanalibeba sana dhehebu lao
Wanalipa maeneo makubwa ya ardhi kwa lazima
Ukiwa waziri wa ardhi wewe bishana nao kwenye ardhi huchukui muda utatoka

Pia wamekuwa wanawasapoti kwa vitu vingi mfano kwanini roma shule zake za seminari na vyuo aliachiwa?
Makanisa mengine mpaka leo hayajarudishiwa?
anglican walihangaika wee wakajikuta wanaambulia tu mazengo ambayo sasa ni St johns university
Ila chuo cha ualimu korogwe hosptal ya muhimbili msalato navingne serikali imegoma
Una uhakika Roma wameachiwa shule mkuu
 
Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?

Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Ni kwasababu madhehebu mengine hawajielewi elewi. Anaweza kuingia mfuasi wa Gwajima akaleta mambo yake ya misukule au mfuasi wa McKenzie akaambia watu wafunge mpaka kufa wakakutane na Yesu.
 
Rais akiwa mkristo ni lazma awe mkatoliki japo haipo kwenye katiba.
Nani alikwambia Wakatoliki ni Wakristo? Ndio maana Waislamu na Wakatoliki hawatofautiani. Mkatoliki hana madhara kwa Muislamu na kinyume chake. Hii pia ni MAAGANO ya wale Wachawi 5 (wakiiongozwa na Forojo Ganzel Master) waliotumwa na yule babu wa 1 wa hii nchi kule Bagamoyo waliokubaliana hizo dini 2 tu ndio ziongoze TZ. Lakini wanamaombi wanashughulika nazo punde itabadilika
 
Wanaoweka viongozi wa juu kama Rais ni usalama wa Taifa.

Baadhi ya usalama wa Taifa ni mapadre na wamo humo kwa kazi maalum.Maana hili kanisa lina mambo mengi mno yasiyo ya kikanisa.
Sasa fikiria kama wao ndio wanaweka Rais,akigombea mwingine wanao uwezo wa kumtengenezea scandal akachafuka na asikubaliwe.
Mara mnasemaga kule wamejazwa mauvccm !! Sasa tuamini kipi ??!!
 
Kuna uzi humu kwamba Katoliki ndo walianzisha uislamu kuwadhibiti Wayahudi. Katoliki na Waislamu lao ni moja.
 
Wanatazama uwiano wa kura sababu linawafuasi wengi ila imetosha zamu ya KKKT ama Anglican sasa

Marais wakatoliki wamekuwa wanalibeba sana dhehebu lao
Wanalipa maeneo makubwa ya ardhi kwa lazima
Ukiwa waziri wa ardhi wewe bishana nao kwenye ardhi huchukui muda utatoka

Pia wamekuwa wanawasapoti kwa vitu vingi mfano kwanini roma shule zake za seminari na vyuo aliachiwa?
Makanisa mengine mpaka leo hayajarudishiwa?
anglican walihangaika wee wakajikuta wanaambulia tu mazengo ambayo sasa ni St johns university
Ila chuo cha ualimu korogwe hosptal ya muhimbili msalato navingne serikali imegoma
Muhimbili palianzishwa na mvaa kobazi,get your facts right
 
Imagine muwe na Rais anasali Free Church! Bishop wake Mkandamizaji!

Makanisa mengine ukifatilia vizuri unagundua wamiliki halisi ni individuals wapo Marekani, South Africa n.k, Rais anaweza kuendesha nchi kwa maono ya mtu anajiita nabii kumbe mchongo.

Lutheran, Anglican n.k wapo organised wanaweza kutoa Rais ila hawa wa mwendokasi "Unstoppable Fire church" "Jesus Power church' "double touch anointing church" na picha za baba na mama mchungaji kwenye mabango hapana!
 
Wakatoliki huwa wana mipango mingi sana nyuma ta pazia , na raisi akiwa mkatoliki huwa wanapenda pia kumtumia kwa maslahi ya kanisa .
JFK,, raisi pekee mkatoliki aliyehudumu USA. na inasemekana CIA walinusa mipango ya kanisa kuingliia mifumo ya serikali , na inaaminika ni moja ya sababu ya kifo cha JFK ,lengo likiwa ninkunusuru madhara ya maamuzi ya kanisa kwenye serikali.
Ngunu sana kwa mkatoliki kutawala USA
 
Nimemsomea mzee m1 hapa comment yako amepingana nawe na kusema kitu ambacho kina ukweli...
Mfano sisi yulipo shule nyingi za msingi zilikuwa za Katoliki, kwa huku utakuta kanisa Katoliki lilipo pembeni Kuna shule ya msingi, ila walinyang'anywa.
Shule ya Sekondari Weruweru haijarudishwa, Tosamaganga, nk
Sijakuelewa
 
Back
Top Bottom