Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
-
- #21
Huku Sasa ni hoja nyingine mkuu🤣mi niliona picha za GIGY MONEY akiwa ndan ya tinted na macho matatu pembeni mzee wa tLp
hata hawakukaa pozi la kikanisani
utazani wasanii PAPA YA MOBIMBA.
Sizani km ilikuwa ni ndoa ile.
kilaini alifafanue hili
Katoliki na Apostoliko!Yapi hayo ?
Basi Kuna shidaWiki iliyopita kuna jamaa yangu kafunga ndoa na ni mkatoliki.
Mbona kawaida sana
Sawa bwana mkubwaKatoliki na Apostoliko!
Amina bwashee!Wiki iliyopita kuna jamaa yangu kafunga ndoa na ni mkatoliki.
Mbona kawaida sana
Hujaelewa nini mkuu? Hoja nimeijibu kwa kukwambia kwamba huo ni utaratibu tu ambao unaweza ukawekewa condition kwamba kama kuna jambo la dharula hasa la kiroho hata la kimwili, ndoa inafungwa tu. Mfano, labda wachumba wana safari ya pamoja wiki moja ijayo kwenda masomoni Iraq, na kwa mzingira halisi wangependa watoke wakiwa tayari wameshafunga ndoa, basi Askofu/Paroko akiona kuna logic anatoa kibali. Au kama wawili wamekuwa wakiishi pamoja bila ndoa na mmoja wao ni mgonjwa na asingependa afariki bila ya kufunga ndoa, basi kibali kinaweza kutolewa. Hiyo ni mifano tu, usiniquote!Hapo hujadili hoja ila unaleta personal attack........jadili hoja mkuu na Kwa taarifa yako mm siyo mkatoriki ila nimeishi kwenye ukatoriki Kwa miaka kama 6 hivi...... kwahiyo usilete ujuaji sana mkuu
Hakuna shida yoyote.Basi Kuna shida
Kwa mtazamo huu sawa mkuuHujaelewa nini mkuu? Hoja nimeijibu kwa kukwambia kwamba huo ni utaratibu tu ambao unaweza ukawekewa condition kwamba kama kuna jambo la dharula hasa la kiroho hata la kimwili, ndoa inafungwa tu. Mfano, labda wachumba wana safari ya pamoja wiki moja ijayo kwenda masomoni Iraq, na kwa mzingira halisi wangependa watoke wakiwa tayari wameshafunga ndoa, basi Askofu/Paroko akiona kuna logic anatoa kibali. Au kama wawili wamekuwa wakiishi pamoja bila ndoa na mmoja wao ni mgonjwa na asingependa afariki bila ya kufunga ndoa, basi kibali kinaweza kutolewa. Hiyo ni mifano tu, usiniquote!
😄😄 mkuu huyu ni bwashee aujaona ni mammy? watakutolesha mapengoAmina bwashee!
Katika dini za ulimwengu dini ya kikuristo hawanaga misimamo na hawako serious na Imani yao, unakuta mchugaji anahubili kua na ndoa moja huku anafungisha mtu ndoa ya tatu, au yeye mwenyewe ana wake zaidi ya wawili, some time naona kama hiyo dini ni fix tu.Habari wana Jukwaa,
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, imekuaje sheria ya Kanisa imekiukwa Kwa kufunga ndoa wakati wa mfungo wa Kwaresma? Kwa kipindi hiki huwa hakuna harusi au sherehe yoyote Makanisani ikiwemo ndoa.
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi yetu, watu maarufu kupewa kipaumbele hata kama nikwakuvunja sheria zilizopo, yaani mtu akiwa na vijisenti au kiongozi mkubwa serikalini ni mara chache sana sheria kufuatwa.
Wakatoliki nisaidieni kunipa mwongozo hili la Mrema limekaaje?
Kila la heri mzee Mrema katika maisha yako ya ndoa takatifu.
Hakuna watu maarufu wanaopewa kipaumbele.Habari wana Jukwaa,
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, imekuaje sheria ya Kanisa imekiukwa Kwa kufunga ndoa wakati wa mfungo wa Kwaresma? Kwa kipindi hiki huwa hakuna harusi au sherehe yoyote Makanisani ikiwemo ndoa.
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi yetu, watu maarufu kupewa kipaumbele hata kama nikwakuvunja sheria zilizopo, yaani mtu akiwa na vijisenti au kiongozi mkubwa serikalini ni mara chache sana sheria kufuatwa.
Wakatoliki nisaidieni kunipa mwongozo hili la Mrema limekaaje?
Kila la heri mzee Mrema katika maisha yako ya ndoa takatifu.
Tulizana basi😄😄 mkuu huyu ni bwashee aujaona ni mammy? watakutolesha mapengo
Hahahaaaa..... Sijavaa miwani kumbe ni manka!😄😄 mkuu huyu ni bwashee aujaona ni mammy? watakutolesha mapengo
Ulitaka kufunga ndoa kipindi cha Kwaresma ukiwa na sababu ya msingi ukakataliwa?Kama ni utaratibu uwe Kwa wote siyo Kwa watu wa tabaka fulani
unahisi ni sababu zipi kikanisa wanakubali ndoa ifungwe kipindi cha kwaresma?Wiki iliyopita kuna jamaa yangu kafunga ndoa na ni mkatoliki.
Mbona kawaida sana
Ishi maisha yako, Acha kuumiza kichwa kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wakoKatika dini za ulimwengu dini ya kikuristo hawanaga misimamo na hawako serious na Imani yao, unakuta mchugaji anahubili kua na ndoa moja huku anafungisha mtu ndoa ya tatu, au yeye mwenyewe ana wake zaidi ya wawili, some time naona kama hiyo dini ni fix tu.
😄😄😂mi simoHahahaaaa..... Sijavaa miwani kumbe ni manka!
Enzi zamani ukisoma historia kipindi cha kwaresma ilikuwa marufuku hata mtu kulala na mkewe.Siku hizi aaaaKwaresma ndoa zinafungwa kama kawaida!
😄😄nimeshatulia mkuu 👐Tulizana basi