Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
- #41
Utaratibu ndoa haifungwi wakati wa KwaresmaUlitaka kufunga ndoa kipindi cha Kwaresma ukiwa na sababu ya msingi ukakataliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaratibu ndoa haifungwi wakati wa KwaresmaUlitaka kufunga ndoa kipindi cha Kwaresma ukiwa na sababu ya msingi ukakataliwa?
Siku hizi mambo yamebadilika sana hasa mtu akiwa maarufu au mwanasiasaEnzi zamani ukisoma historia kipindi cha kwaresma ilikuwa marufuku hata mtu kulala na mkewe.Siku hizi aaaa
Utaratibu wa wapi huo?Utaratibu ndoa haifungwi wakati wa Kwaresma
Kaulize vizuri utaelewesha........na si RC tu ni Makanisa yoteUtaratibu wa wapi huo?
Nakushauri ukaombe kwanza. Ukikataliwa ndio uje hapa kulalamika, tena uziweke hadharani hoja zako ulizopeleka na jinsi walivyokujibu. Ukikubaliwa sio lazima urudi hapa, maana kukubaliwa ni jambo la kawaida, sio la ajabu kama unavyolazimisha lionekaneKaulize vizuri utaelewesha........na si RC tu ni Makanisa yote
Mimi ni Mkatoliki.Kaulize vizuri utaelewesha........na si RC tu ni Makanisa yote
Ndiyo akili zetu hizi,mtu akileta jambo amekataliwa? Wakati wa Kwaresma hakuna Kanisa linafungisha ndoa,labda kama hujuiNakushauri ukaombe kwanza. Ukikataliwa ndio uje hapa kulalamika, tena uziweke hadharani hoja zako ulizopeleka na jinsi walivyokujibu. Ukikubaliwa sio lazima urudi hapa, maana kukubaliwa ni jambo la kawaida, sio la ajabu kama unavyolazimisha lionekane
Umeshuhudia Wakati wa Kwaresma?Mimi ni Mkatoliki.
Nimeshashuhudia ndoa nyingi tu zinafungwa wakati wa Kwaresma kama kuna sababu ya msingi.
Hata leo Mama Kanisa anasherehekea kupashwa habari kwa Bikra Maria kama atakuwa Mama wa Mungu. Hii ni sherehe kabisa na inasherehekewa tukiwa katikati ya Kwaresma.
Kila Jumapili hatufungi, maana ni siku za sherehe... Hata kama tupo kwenye Kwaresma.
Ndio maana nikakuuliza utaratibu wa wapi huo? Hebu tueleze.
Injili ya mathayo kwani imekataza?Habari wana Jukwaa,
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, imekuaje sheria ya Kanisa imekiukwa Kwa kufunga ndoa wakati wa mfungo wa Kwaresma? Kwa kipindi hiki huwa hakuna harusi au sherehe yoyote Makanisani ikiwemo ndoa.
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi yetu, watu maarufu kupewa kipaumbele hata kama nikwakuvunja sheria zilizopo, yaani mtu akiwa na vijisenti au kiongozi mkubwa serikalini ni mara chache sana sheria kufuatwa.
Wakatoliki nisaidieni kunipa mwongozo hili la Mrema limekaaje?
Kila la heri mzee Mrema katika maisha yako ya ndoa takatifu.
View attachment 2163714
Huyu hajaomba na kukataliwa. Kama umemsoma vizuri, alitaka kulazimisha mtazamo wake humu kwamba 'vigogo' wanabebwa katika kanisa Katoliki. Bahati nzuri ametukuta wengine humu tupo kwenye Halmashauri za Walei Parokia, tunajua yote na pia tunajua mitazamo ya watu wengine wa nje walio na tabia za kupiga mawe Kanisa Katolik. Mpango wake umefeli kuanzia post ya pili ya uzi huu. Kwa sasa nachojaribu ni kujitutumua tu, ila anatafuta njia ya kutokea taratibuNdio maana nikakuuliza utaratibu wa wapi huo? Hebu tueleze.
Sasa wewe umesema sio muumini wa RC, utajuaje zaidi ya waliopo huku?... Wakati wa Kwaresma hakuna Kanisa linafungisha ndoa,labda kama hujui
Utakuwa umevurugwa mkuu.......kwanza nikweli Makanisa yanawabeba watu maarufu na wanasiasa hata kama hawafuati taratibu za Kanisa......kwenye ndoa na misiba hilo halina ubishi,pili Kwaresma hakuna Kanisa ndoa inafungwaHuyu hajaomba na kukataliwa. Kama umemsoma vizuri, alitaka kulazimisha mtazamo wake humu kwamba 'vigogo' wanabebwa katika kanisa Katoliki. Bahati nzuri ametukuta wengine humu tupo kwenye Halmashauri za Walei Parokia, tunajua yote na pia tunajua mitazamo ya watu wengine wa nje walio na tabia za kupiga mawe Kanisa Katolik. Mpango wake umefeli kuanzia post ya pili ya uzi huu. Kwa sasa nachojaribu ni kujitutumua tu, ila anatafuta njia ya kutokea taratibu
Nimeishi RC zaidi ya miaka 6, usiniulize nilikuwa nafanya niniSasa wewe umesema sio muumini wa RC, utajuaje zaidi ya waliopo huku?
Basi kukusaidia, yeyote anayetaka kufunga ndoa kipindi hiki, mwambie akamueleze Paroko wake. Sana sana kuna requirement ya kiserikali kwamba nia ya kufunga ndoa itangazwe mara tatu kwa kipindi cha wiki tatu kabla ya siku ya ndoa, sasa serikalini siwezi kuwasemea, ila kanisani hata kesho katika ibada ya asubuhi ukipeleka ombi likakubaliwa utafunga tuNimeishi RC zaidi ya miaka 6, usiniulize nilikuwa nafanya nini
Acha kulalamika, tafuta hela ukalipe mahari umalize mambo ya kimila. Isije ukawa umekwamishwa kimila halafu unasingizia Kanisa. Kwanza Kwaresma yenyewe ni siku 40 tu, huna haja ya kuitolea machoUtakuwa umevurugwa mkuu.......kwanza nikweli Makanisa yanawabeba watu maarufu na wanasiasa hata kama hawafuati taratibu za Kanisa......kwenye ndoa na misiba hilo halina ubishi,pili Kwaresma hakuna Kanisa ndoa inafungwa
Ni siku mbili tu ambazo Kanisa Katoliki haliwezi kufungisha ndoa nazo ni: IJUMAA KUU na JUMAMOSI KUU! Siku zingine ni ruksa kwa busara ya ya Paroko wako!Habari wana Jukwaa,
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, imekuaje sheria ya Kanisa imekiukwa Kwa kufunga ndoa wakati wa mfungo wa Kwaresma? Kwa kipindi hiki huwa hakuna harusi au sherehe yoyote Makanisani ikiwemo ndoa.
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi yetu, watu maarufu kupewa kipaumbele hata kama nikwakuvunja sheria zilizopo, yaani mtu akiwa na vijisenti au kiongozi mkubwa serikalini ni mara chache sana sheria kufuatwa.
Wakatoliki nisaidieni kunipa mwongozo hili la Mrema limekaaje?
Kila la heri mzee Mrema katika maisha yako ya ndoa takatifu.
View attachment 2163714
🤣🤣🤣Njoo uwe mshenga Kwa mke wa pili mkuuAcha kulalamika, tafuta hela ukalipe mahari umalize mambo ya kimila. Isije ukawa umekwamishwa kimila halafu unasingizia Kanisa. Kwanza Kwaresma yenyewe ni siku 40 tu, huna haja ya kuitolea macho