granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
Wewe mbung'o tunakujua ni mkatoliki konki ila ila tukikuletea mada za wakatoliki kufira watoto wadogo hapa nchini na duniani na pia urasimishwaji wa ndoa za kishoga kwenye ukatoliki unabadilika na kujifanya Kiranga huamini diniWanamuombea kwa jina la baba mtakatifu😁.
Kanisa Katoliki lina kazi ya ziada ya kufanya kwa wafuasi wazawa wa ukanda wa Pwani kwani hawana tofauti sana na masheikh ubwabwa.
Lakini naona kuna shida pahala! This is too muchBandugu naona Wakatoliki wa kuchaji wanaendelea kufanya yao. Leo wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti
============
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya wameungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt . Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa .
Wakizungumza baada zoezi hilo la upandaji wa miti lililoambata na ukataji wa keki , wamesema kuwa wameamua kujitokeza katika kushiriki zoezi hilo kwa lengo la kuunga mkono Rais Samia ni kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya na Dkt Samia kwa Wananchi wake .
Pia wamemtska rais Dkt Samia asitetereke katika uongozi wake , aongoze vyema , asimame kama mwanamke na aendelee kuwaongoza .
BAKWATA na UVCCM badala ya kumsafisha ndiyo wanazidi kumpaka uharo kabisa.Aliye nyuma ya hili ni mjinga sana
Na asivyo na akili anajaa mazimaHuu naona ni kama mtego, taifa likae kwa kutulia.
Kuna mtu anajazwa kwenye 18, birthday ya mwisho.
Hao siyo wakatoliki ! Hiyo Biblia siyo ya Kikatoliki.Bandugu naona Wakatoliki wa kuchaji wanaendelea kufanya yao. Leo wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti
============
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya wameungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt . Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa .
Wakizungumza baada zoezi hilo la upandaji wa miti lililoambata na ukataji wa keki , wamesema kuwa wameamua kujitokeza katika kushiriki zoezi hilo kwa lengo la kuunga mkono Rais Samia ni kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya na Dkt Samia kwa Wananchi wake .
Pia wamemtska rais Dkt Samia asitetereke katika uongozi wake , aongoze vyema , asimame kama mwanamke na aendelee kuwaongoza .
Hiyo siyo ya Kikatoliki.Hiyo ni Biblia ya kiprostantiWamekosa misale ya waamini hata ya kuazima? Wakatoliki wanaheshimu Sana bibilia Takatifu na huwezi kuwaona wakitembea nayo kwa maonyesho mtaani
Siyo wakatoliki hao.Wanamuombea kwa jina la baba mtakatifu😁.
Kanisa Katoliki lina kazi ya ziada ya kufanya kwa wafuasi wazawa wa ukanda wa Pwani kwani hawana tofauti sana na masheikh ubwabwa.
Miti yenyewe hko mbeleni
Itaishia kunyauka,kufa
Miti inapandwa kwa Kiki
Ova
Ama kweli nyumbu ni chakula cha mamba,yaani na wewe bila kutumia akili unaamini kabisa hao ni wakatoliki?Ngoja padre kitime awafukuze kwenye ukristo
Njaa mbaya 🥲