MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 728
- 988
Halafu unakuta kuna mtu humu anawatetea hawa wajingaKumbe ni igizo lingine!
Usizunguke sana mweyekiti wa CCM hana akili, haya mambo angekua kasha yakemea ila kwakua yeye na hao kina Maimuna akili zina fanana anaona sawaHuyu mama hata kama anamsapoti Mama Samia hakupaswa kuongea mbele ya umma. Kwanz hakuna mkatoliki anayebeba hii biblia ya kiprotestanti. Pia kakosea kutaja jina la jumuiya yake na mwisho kamaliza kwa kusema "kwa jina la baba mtakatifu".
Kama kuna kiongozi wa CCM yuko nyuma ya haya mambo aache kwa sababu hayana faida kwa chama zaidi ya kukichafua chama.
View: https://www.instagram.com/reel/DUBgb8Witud/?igsh=MXU5aWtqeDEwMHV5dA==
Wamekosa misale ya waamini hata ya kuazima? Wakatoliki wanaheshimu Sana bibilia Takatifu na huwezi kuwaona wakitembea nayo kwa maonyesho mtaani
Ukielewa tofauti habari kama hizi hazitakusumbua
Kuna Wakatoliki ambao ni wale unaowajua siku zote akina Kitima etc
Kuna Wakato-link ambao ni hawa wanapanda miti na kuandika barua Vatican kwa maandamano.
Kuna tatizo gani Wakatolink wakipanda miti katika siku yao?
Bado nguchiro wa kanisa hamjasemaUsizunguke sana mweyekiti wa CCM hana akili, haya mambo angekua kasha yakemea ila kwakua yeye na hao kina Maimuna akili zina fanana anaona sawa
BAKWATA na UVCCM badala ya kumsafisha ndiyo wanazidi kumpaka uharo kabisa.
Bado nguchiro wa kanisa hamjasema
Tunataka mseme tuwaskie mkisema kenge nyinyi
View attachment 3535383
Hapa ulikua unaenda wapi na kijora chako
Ndio maana mnaitwa marofa wakatoriki hatuna wauminiHAO NI WAUMINI WENU KENGE NYINYI
WAISLAM WANAVAA HIJJAB NA SITARA NA SIYO HAO WAUMINI WENU
SASA MNAWAKATAA WAUMINI WENU KISA WANASIMAMIA MAONO YAO??
PAMBANENI NA HALI ZENU KENGE NYINYI
Ndio maana mnaitwa marofa wakatoriki hatuna waumini
Wewe jamaa uko na mental distortion hakika.HAO NI WAUMINI WENU KENGE NYINYI
WAISLAM WANAVAA HIJJAB NA SITARA NA SIYO HAO WAUMINI WENU
SASA MNAWAKATAA WAUMINI WENU KISA WANASIMAMIA MAONO YAO??
PAMBANENI NA HALI ZENU KENGE NYINYI
Nimeskia dini yenu mnatoa vitambulisho dadekii
Teh teh teh
Dini gani inatoa identity cards??
Hao ni wenu tuh hata muwakatae kwa namna gani.
Kanisa linachechemea
Ni samuya mwenyewe huyoAliye nyuma ya hili ni mjinga sana
Parokia ya Yombo Dovya haiitwi Mt. Yohana. InatwaBandugu naona Wakatoliki wa kuchaji wanaendelea kufanya yao. Leo wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti
============
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya wameungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt . Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa .
Wakizungumza baada zoezi hilo la upandaji wa miti lililoambata na ukataji wa keki , wamesema kuwa wameamua kujitokeza katika kushiriki zoezi hilo kwa lengo la kuunga mkono Rais Samia ni kutokana na kazi kubwa na nzuri inayofanya na Dkt Samia kwa Wananchi wake .
Pia wamemtska rais Dkt Samia asitetereke katika uongozi wake , aongoze vyema , asimame kama mwanamke na aendelee kuwaongoza .
Habibu Mchange inasemekana ndio Director wa haya maigizoAliye nyuma ya hili ni mjinga sana
Huyo ni chawa wa samuya hana namna ingine mkuuAma kweli nyumbu ni chakula cha mamba,yaani na wewe bila kutumia akili unaamini kabisa hao ni wakatoliki?
Nina mashaka na upeo wa fahamu zako!
Lucha