Wewe mwamba huwa hata ukifanya uchawa , huwa unabaki na akili yako ,kwa hilo kongole sana bwasheeHuyu mama hata kama anamsapoti Mama Samia hakupaswa kuongea mbele ya umma. Kwanz hakuna mkatoliki anayebeba hii biblia ya kiprotestanti. Pia kakosea kutaja jina la jumuiya yake na mwisho kamaliza kwa kusema "kwa jina la baba mtakatifu".
Kama kuna kiongozi wa CCM yuko nyuma ya haya mambo aache kwa sababu hayana faida kwa chama zaidi ya kukichafua chama.
View: https://www.instagram.com/reel/DUBgb8Witud/?igsh=MXU5aWtqeDEwMHV5dA==
Hiyo ipo wazi.Lucy anatumiwa tu. Hana pesa za kuwaajiri hao actors kufanya hiyo comedy. CCM wapo nyuma ya hii drama yote.
subiria birthday ya heche mkaokote kuniCcm na Samia wenu mna obsession sana Kanisa Katoliki.
Uzuri kwa namna mnavyofanya huu upumbavu wenu ndivyo mnavyozidi kujionesha kwa Watanzania mlivyo wapumbavu kupindukia
birthday ya heche itabiid mtafute kuniWewe mwamba huwa hata ukifanya uchawa , huwa unabaki na akili yako ,kwa hilo kongole sana bwashee
HahahahaNjaa mbaya 🥲
Niliniuliza huyu askofu Luwacha ninani sikuoata jibu[emoji23][emoji23]
Ana background iliyojaa magumuView attachment 3535583Mkuu kwa kumuangalia tu huyu bi Lucy Michael unaona kabisa ni mtu mwenye changamoto kiakili na anahitaji msaada wa haraka , hivyo hata alichokuwa anakisema licha ya kusoma aliyoandikiwa bado unaona ana matatizo mengi sana .
Wakurya hatunaga birthdaybirthday ya heche itabiid mtafute kuni
basi subiri sku akilewa kupindukia mpande mitiWakurya hatunaga birthday
Ajabu ni kiongozi wa UVCCM jiulize waongozwaji wana hali ganiView attachment 3535583Mkuu kwa kumuangalia tu huyu bi Lucy Michael unaona kabisa ni mtu mwenye changamoto kiakili na anahitaji msaada wa haraka , hivyo hata alichokuwa anakisema licha ya kusoma aliyoandikiwa bado unaona ana matatizo mengi sana .
Wanakuuma sana hao wavaa magauni.WAUMINI WA KANISA HAWANA SHIDA KABISA...TATIZO NI WALE JAMAA WAVAA MAGAUNI WALIOKATAA KUOA NA KUISHI KWA NYETO...WANA SHIDA SANA KENGE WALE
Aibu tupu.Ajabu ni kiongozi wa UVCCM jiulize waongozwaji wana hali gani
HaiwezekaniHapo Ruwaichi roho ina muuma sana
Mwaka wenu huu wasomi. Maphd wakirisito. Mpaka inafika 2030 nyuso zishazeeka kwa hasiraHuko si ndio anakotokea yule Lucy Michael ambae alisema wanamshtaki askofu "Luwacha".
Mwenye hii project ni Stuxnet