Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Kwani ushoga ni dhambi pekee ya kukemea? Mbona dhambi zilizohalalidhwa na Mtume Muhammad kwenye Quran kwa Aya kabisa hazikemewi, mfano Quran 33:37 kwamba Mwenyezi Mungu alimruhusu Mtume Muhammad kuoa mke wa mtu Zainabu? Hivi Mungu anaweza kuruhusu mtu kuoa mke wa mtu? Pia Qur 33:50 kwamba Mwenyezi Mungu alimruhusu Mtume Muhammad kuzini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake? Hivi Mungu anaweza kuruhusu uzinzi? Haya yako kwenye Aya kabisa lakini hatuoni yakikemewa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaongelea Mungu yupi? Maana Quran 2:223 inasema wanawake ni konde zenu zieendeeni konde zenu kama mpendavyo, tafsiri ya Kitabu Sabulus-Salam juzuu 3 inasema Mtume wa Allah alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma, kwa hiyo mbona imeshushwa Aya kabisa kuhalalisha ulawiti?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe una elimu kuliko waliotafsiri Aya hiyo? Kwa wanawake ni konde? Muwaendee mnavyopenda? Je, Quran 33:50 inavyosema Mwenyezi Mungu alimruhusu Mtume Muhammad kuzini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake nayo unaitafsiri vipi? Ni kweli Mwenyezi Mungu anaweza kushasha Aya ya uzinifu? Haya Kwa hili la Papa Paulo Kuna Aya yoyote kwenye Biblia inayoruhusu ushoga kama ilivyo kwenye Quran? Hebu taja Aya ya ushoga kwenye Biblia tuone.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni kichekesho hata Uislamu Hujui. Quran iliyokuwa na Sura 120 Sasa zimebaki Suratul 114, sita hazipo ambazo ni: 1. Iqtaribat, 2. S'aa 3. Twasamat, 4. Sa'al Al Qital, 5. Al Malaikat, na 6. Al Hashir. Wewe unayajua yaliyokuwemo kwenye Sura hizo zilizopotea? Hata hii ya 114 bado Aya nyingi sana zimepotea, mfano Sura ya 9 ilikuwa na Aya 387 leo zimebaki 129 tu, unazijua zilizopotea? Sura ya 33 ilikuwa na Aya 200, leo zimebaki 73 tu, unajua zilizopotea? Soma kitabu Cha ITQAN juzuu ya 3 Hadithi 431 utapata hayo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yesu mwenyewe aliambiwa ni rafiki wa makahaba na walevi kisa tu alikuwa anawatafuta wadhambi. Papa Paulo naye analaumiwa kama alivyolaumiwa Yesu kisa tu anataka mashoga wasitengwe wahubiriwe wabadilike, kazi ya kuwatafuta wadhambi ndiyo aliyokuja nayo Kristo. Mzima hahitaji daktari Ila mgonjwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mtume Mohamad anaingiaje hapa?
Mada inahusu masikitiko ya wakatoliki kuona Papa anakumbatia harakati za mabwabwa.

Tusijifiche kwenye kichaka cha udhaifu wa dini zingine kufunika madhaifu ya ndani ya kanisa katoliki.
Mtume Muhammad anaingia kwa sababu alihalalisha uzinifu Tena kwa Aya, hii ya Papa Paulo hatuoni Aya inayoruhusu ushoga, Ila Papa anaposema mashoga wasitengwe Yuko sahihi hata Yesu alilaumiwa sana na viongozi wa kidini ya Kiyahudi kuwa ni rafiki wa makahaba na walevi, yeye alijibu amekuja kuwatafuta wadhambi warekebishwe, na kwamba mzima hahitaji daktari, Ila mgonjwa, Sasa wagonjwa (mashoga) ukiwatenga ni sawa umekwenda kuwatibu wazima ambao hawahitaji daktari.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naona unachanganya mambo.
Issue hapa ni kuhusu aibu na fedheha ambayo wakatoliki wanaipata baada ya Papa kuonyesha mwelekeo halisi wa kuwabeba mashoga kwa mgongo wa kanisa Katoliki. Hatupo hapa kujadili uzinzi wa Muhamad, na uzinzi wa Muhamad haiwezi kuwa jibu la hichi alichokifanya Papa.

Kuhusu Yesu na kukaa na waovu haihusiani kabisa na hichi cha Papa. Yesu aliwaendea waovu wote ili watubu na kuacha uovu wao na sio kwenda kuhalalisha uovu wao.
 
Weka hapa tuione.
 
Wewe ni mwongo, mzushi, shoga na bila shaka unafirwa na kufirwa humo kanisani

Unazua uwongo na uzushi juu ya quran, mnafiki mkubwa, hujui tafsiri wala hao unaowafata na kuwasoma hawajui tafsiri na ni vitabu vya kikafiri wala hakuna katika quran hayo unayosema, na kama nitakujua WALLAHI nitakukata kichwa hata mbele ya jeshi lolote duniani, kafir mkubwa, umbwa jike wewe, kazi kuzusha uwongo tu juu ya quran
Shoga la kigalatia wewe, papa karuhusu mfirane nenda haraka uwahi kufirwa
 
Wewe ni mwongo, mzushi na dawa yako ni kukatwa kichwa qadamnasi

Shoga nenda papa karuhusu mufukuliwe mitaro
 
Kalaghabao
Sasa mbona unasadiki vitu ambavyo havipo kwenye ukatoliki? Unawezaje ukapinga au kukosoa msimamo wa Papa wazi wazi?
Hata mtoto ambaye hajapata komunio ya kwanza anajua muundo wa mamlaka ya kanisa Katoliki, wewe vipi hujui?
 
Huelewi ila unajifanya unajua.
 
denoo JG
Naona unanilaumu bure, nadhani kwa kuwa umepanic.
Umesoma mada yangu na kuelewa?

Embu sema ni upi uongo nimeandika?
Hivi unadhani wakatoliki wana furaha na haya mambo ya Papa kuwakumbatia mashoga kwa mwamvuli wa kanisa katoliki?

Yes, naona umejitokeza sasa, naamini ulikuwa umejificha makusudi ila baada ya kuona comments zangu kwako ukajitokeza mafichoni kuficha aibu.

Kwanza nikwambie tu, siwezi kupanikishwa na uzi usio na mantiki kwa sababu ya mleta mada kuwa na upeo mfupi wa kile alichozungumzia, uliochanganyika na mihemko ya kishabiki.

Hebu tuambie;

- Hiyo research yako ya kusema wakatoliki hawana furaha uliifanyia wapi? ukatumia sample space ipi?

- Kuonesha ulivyo na upeo mfupi wa kile ulichozungumzia, nimekuuliza maswali kadhaa uliponi quote, umeacha kuyajibu yote, ajabu unakuja na ngonjera za ku-panic, jibu maswali yangu niliyokuuliza usijitie upofu.

- Wewe ni muongo kwasababu uliyoandika yote hayajatoka kwenye ule waraka wa Vatican, umeyatoa kichwani mwako ukayaleta hapa kishabiki kwa lengo ovu la kutafuta sifa za kijinga, kama una hakika kile ulichoandika ni kweli, tuoneshe hapa wapi ule waraka wa Vatican umezungumzia kubariki mashoga?

Nakusubiri.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Una upeo mdogo sana, nakusubiri uyajibu maswali yangu hapo juu.

Umejaa upotofu mtupu, wapi Papa amehalalisha uovu kwenye ule waraka?

Hujui maana ya kuchangamana na wenye dhambi ili kuwabadilisha, na kuwabadili sio jambo la siku moja, huchukua muda fulani, sasa kama hutaki tuwe karibu nao, niambie; tutawabadilisha vipi tukiwa mbali nao?

Thinking capacity yako is very low.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…