eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Kwani ushoga ni dhambi pekee ya kukemea? Mbona dhambi zilizohalalidhwa na Mtume Muhammad kwenye Quran kwa Aya kabisa hazikemewi, mfano Quran 33:37 kwamba Mwenyezi Mungu alimruhusu Mtume Muhammad kuoa mke wa mtu Zainabu? Hivi Mungu anaweza kuruhusu mtu kuoa mke wa mtu? Pia Qur 33:50 kwamba Mwenyezi Mungu alimruhusu Mtume Muhammad kuzini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake? Hivi Mungu anaweza kuruhusu uzinzi? Haya yako kwenye Aya kabisa lakini hatuoni yakikemewa.Hivi kumbe kuna watu bado wanamtetea papa kwamba tumetafsiri vibaya!!!
Mtu yeyote anayefanya mambo ya kishoga hatakiwi kupewa favor ya namna yeyote huoni mungu aliangamiza sodoma. Mission ya kanisa imeshajulikana ulimwenguni kote hatuhitaji maelezo mengine.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app