Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Mkuu unachekesha ujue, hakuna wa kumuondoa papa madarakani ni mpaka afe au aamue mwenyewe kujiuzulu, na mwenye kanisa katoliki ni vatican, vatican ikisema imesema, hutaki ondoka. unaijua vatican wewe au unaisikiaga tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana nakwambia mshamba ni yule asielewa kama wewe na wale wenzie mnaotetea hizo hali zenu...

Na kama umemuelewa askofu Ruwaichi basi umemuelewa pia Papa,
maana Ruwaichi ameeleza kinagaubaga anachomaanisha Papa kwa lugha rahisi mno na pia askofu Severine Niwamugizi wa ngara ameeleza alichomaanisha papa kwa lugha rahisi zaid.....

Shida ni kwamba wewe umeelewa walichoeleza BBC na CNN ambao wanapotosha kwa wingi kisha baadae wanakanusha, hukumskiza Papa hata kidogo 🤣

alichosema papa ndicho alichosema askofu Ruwaichi na Severine Niwamugizi. Na ndicho kanisa linasimamia. Full stop
 
Huyo Papa anatakiwa kuondolewa madarakani haraka maana kuezi kutetea kitu ambacho hukifanyi!!
Unacho takiwa kukijua haya yote yapo kwenye plan.. Yule papa aliye staafu alilazimisha au alistaafishwa kwa lazma ndyo papa ambae alikuwa akipiga ushonga ndani ya kanisa.. Akastaafishwa mkaletewen huyu
 
Pope ameharibu wapi?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Km unajua kila mtu atahukimiwa pekee yake, kwann uanze kuona mashoga hawafai? Huoni wee unahukumu hapo?

Unajua unacho kiandika lakini?? Mwakaa huu had mkimbie Pope anakataa UNAFIKI.
 
😂😂Hivi bado mnabishana kuhusu nani anaijua zaidi dini aliyoletewa na meli... amkeni wanangu
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu kwani mbinguni kuna sex hadi kuwe na ushoga. Mengine unataka kuyakuza na kuliangushia jumba bovu kanisa kwa hearsays
Sasa km akili hana unadhani anajua nn? Hapo akili yake inawaza kupinga ushoga, anafikia hatua kuropoka visivyo kuwepo, anaishia kudharirika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wenye kanisa lao wala hawana habari, hawa wadesaji ndo wanakosa usingizi, na kutaka kupindua kauli halali na tekelezi ya wenye kanisa,
Wakaanzishe Dini na kanisa lao, hawajachelewa bado.
Wawaache Dini na kanisa lao waendeshe wanavyotakaa.
 
mkuu nikuweke sawa, papa sio kiongozi wa wakristo ni kingozi mkuu wa kanisa katoliki, kwa hyo karuhusu ushoga kwa wafuasi wa kanisa katoliki, rekebisha mkuu.
 
Comment ya kufungia uzi kabisaaa. [emoji122][emoji122][emoji122]
Tatizo mihemko imejaa sana kwenye fikra za wengi, hawa ni kuwatazama tu naona wanapenda kujiliwaza kwa kutunga uongo dhidi ya Kanisa Katoliki.

Kama kanisa likikosea kweli, liambiwe, lakini sio kulazimisha kulifanya lionekane limekosea kwa visababu vya kutunga ilimradi kujifurahisha, hapo lazima litetewe, kunyamaza kimya ni uoga na unafiki wa kijinga.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Km unajua kila mtu atahukimiwa pekee yake, kwann uanze kuona mashoga hawafai? Huoni wee unahukumu hapo?

Unajua unacho kiandika lakini?? Mwakaa huu had mkimbie Pope anakataa UNAFIKI.
Hii ndio sababu nakwambia humu kuna wajinga wengi sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo umoja wa maaskofu Malawi, Kenya, Nigeria n.k wote hawajui upuuzi wa papa ila wewe ndio unajua tofauti na wote ?
 
,

Nyie amboa sio wa negativity ndio mmeingizwa kwenye ushoga mchana kweupe. Wazee wa bendera fuata upepo.
we huku nadhani uwe muugwana hutaelewa wala kueleweka kabisa....
Actually sio kwamba utashindwa but kazi yako itakua rahisi zaid ya kule yaani kupinga tu kwa mihemko....

kwenye kuporomosha matusi nahisi ndiko patachafua hali ya hewa
 
Sasa hujui Africa inaongoza kwa UNAFIKII.
ndio kinacho wasumbua hicho tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…