cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unachekesha ujue, hakuna wa kumuondoa papa madarakani ni mpaka afe au aamue mwenyewe kujiuzulu, na mwenye kanisa katoliki ni vatican, vatican ikisema imesema, hutaki ondoka. unaijua vatican wewe au unaisikiaga tu.