Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Mambo ya ushoga ni ya kulaani kabisa na papa km yy ni shoga asituletee ushoga wake sisi maana yy si mtume wala nabii kutupangia nn wakristo tufanye maana hata siku ya hukumu ni mm peke yangu nitasimama kuhukumiwa.Ila cha ajabu waislam wanacheka sana na kuona sisi wakristo tumepotea ila kumbe ktk watu wanao ongoza kwa ushoga ni wao hata kwa kuwaingilia kinyume na maumbile wake zao.Mifano mizuri ni mikoa ya pwani yote huu upuuzi umejaa sana na kinara wao akiwa mombasa na zanzibar ila wanajifanya kama wao hilo swala haliwahusu wakati ndo washenz no moja.
Papa kwa Wakatoliki ni mtu mkubwa sana, ndiye muwakilishi wa Kristo duniani.
 
Kwamba wewe peke yako document umeielewa kuliko baraza la maaskofu Malawi, Kenya, Nigeria, Poland n.k ?View attachment 2850412View attachment 2850413View attachment 2850414
1. Sasa ndiyo kusema nini mbona hueleweki?
2. Yesu aliletewa yule mama alikamatwa akizini na kwa Sheria ya Kiyahudi ilikuwa apigwe mawe hadi kufa. Akaulizwa yeye anasemaje? Yesu akawaambia: "asiye na dhambi kati yenu awe wa kwanza kumtupia jiwe." Walipojitafakari wakaacha mawe yao wakaondoka. Yesu akabaki na yule mwanamke. Akamuuliza, "wako wapi washtaki wako?" Yeye akasema "wameshaondoka". Yesu akamjibu "na mimi sikuhukumu, nenda zako, ila kuanzia sasa usitende dhambi tena." Je, Yesu alipenda kuzini kwa huyo mwanake?
3. Hapo juu umeonyesha Papa akiwa kwenye wheelchair na watu wanampa mkono. Je, aliuliza au aliomba watu wa jinsia moja waje wampe mkono? Wewe ukiwa kwenye kundi la watu ukasalimiana nao na mmoja ni mwizi, wengine walawiti, majangiri, wauaji, etc na je na wewe utakuwa umebariki uovu wao kwa kusalimiana nao?
4. Pia umeonyesha kiongozi mmoja akionyesha ishara kama ya kuwabariki watu wawili. Niulize hivi. Kama wewe ni muumini ukienda kanisani na kanisani kuna watu mbalimbali na huenda baadhi ya walio kanisani wanashiriki uhalifu mbalimbali (wengine ni wezi, walawiti, magaidi, wauaji), je mchungaji akiwaombea huwa anaomba waendelee kufanya uovu wao au ili Mungu awasaidie wamjue zaidi na kumgeukia? Ukimwombea mwizi ina maana unataka aendelee kuiba? Kuna watu wanaenda gerezani kuwaombea wafungwa na wamefungwa kwa makosa mbalimbali pia. Je, huwa wanaombewa waendelee kuwa wahalifu? Mara ngapi watu huwa wanatoa ushuhuda baada ya kuombewa kwamba walikuwa wezi, majangili, wauaji etc? Je, vibaya watu kuombewa na kubadilika kuwa watu wema? Ndiyo dini au aina ya imani mnayoihubiri hiyo?
5. Ukiitisha mkutano na wakaja watu mbalimbali - wengine wezi, majangili, wauaji, walawiti - ukaongea na na mkakubaliana mjenge kisima na fedha zikachangwa na kisima kikajengwa watu wakapata maji ya kunywa, je hayo maji yatakuwa na chembechembe za wizi, ujangili, uuaji, kulawiti etc kwa vile baadhi ya waliochangia ni wahalifu?
5. Kwa hiyo, hapa ndipo kuna missing point. Unataka watu wasiombewe ili wabadilike? Wewe ulishaombewa ili uendelee kufanya aina ya dhambi ambayo ulishawahi kutenda au uendelee na udhaifu wako ulionao? Je, kumbe hata kukitokea majanga viongozi wa dini wakaitwa waimbee nchi huwa ni kuomba hayo majanga yaendelee kuleta madhara kwa wananchi au ili Mwenyezi Mungu ayaondoshe? Kwa shoga je? Tukimwombea ni kutaka aendelee na ushoga au Mwenyezi Mungu ampe neema ya kujitambua zaidi na kufanya mapenzi yake? Hivi ni kweli kabisa Mungu hataki mashoga waombewe ili wabadilike isipokuwa wakosefu wengine tu ndiyo waombewe? Na pale Yesu aliposema "sikuja kuwatafuta wenye haki, bali wenye dhambi ili wapate kutubu" alikuwa na maana gani, kwama hao wenye dhambi hawatakiwi waombewe ili wabadilike?
6. Binafsi naona ni aina ya reasoning ambayo ni "retrogressive" ambayo ni proper to unthinking intelligence.
 
Katika masuala sensitive katika jamii kama sexuality, siasa, dini au kabila ambayo yanaendeshwa kiimani zaidi ni kawaida kuona watu wakiongea kihisia kuliko kwa facts. Ni kawaida kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wabongo, wangekua kweli wanapinga kwa dhati haya mambo, sidhan km kungekua hata shoga mtaani, ila sasa wanabweka mtandaoni wakirud mtaani wanawatafuta mashoga kuwalala

Wanaume ni wanafikii mnooo.
 
Wakatoliki tupo busy tunajiandaa na xmas na mwaka mpya, hizi story mnazitoa wapi. Sijui maji yamejaa unga mara sijui wamekubali ushoga. Nyie. Sisi tunasuubiri sikukui zetu
 
Mimi mkatoliki, nimebatiza, komunio na kipaimara. Ila Kwa Hilo la Kubaliki vitu vya mashoga maana yake ni kuhalalisha ushoga. Slow but sure. Leo watabaliki vitu vyao kesho na ndoa wataanza kuruhusu zifungwe. Hakutakua na sababu ya kukataza wakati kitu unakitambua.

Huwez kulinganisha dhambi ya ushoga na dhambi ya uasherati. Katoliki tunadefine dhambi kama kitu ambachi ukifanya mwenzio hapendi au jamii haipendi. Kuna special dhambi ambazo Mungu mwenyewe anahusika nazo kama hiyo ya ushoga na ya kuua binadamu mwenzio makusudi.
Kwa hiyo wanavyobariki vitu vya wezi, waongo na wazinzi huwa linabariki uzinzi na wizi?

Nyie bado sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
MUNGU hayupo kwenye ukristo wala uislam, MUNGU yupo ndani yetu na wala si kwa papa wala shekhe kipozeo.
Haya ndio maneno yenu siku zote "Mnavaa vichupi" huku mkijifariji kua Mungu yupo Ndan yenu [emoji1][emoji1]
 
Unacho takiwa kukijua haya yote yapo kwenye plan.. Yule papa aliye staafu alilazimisha au alistaafishwa kwa lazma ndyo papa ambae alikuwa akipiga ushonga ndani ya kanisa.. Akastaafishwa mkaletewen huyu
Kwa hiyo kuna maaskofu na makadinali wengi zaidi ya Papa wanaotetea ushoga ndani ya kanisa Katoliki??
 
sure,
Uingereza kupitia BBC na CNN wanafanya jitihada kubwa mno kuinfluence dunia iwe kama wao kuhusu ushoga....

Nashangaa sana, Al-jazeera wameeleza vizuri mno mantiki ya Papa utadhani na wao ni wakatoliki lakini bbc sasa🤣,
wanapotoshaaaaaaaa, halafu baada ya muda wanakuja kukanusha au kurekebisha kwamba hakusema hivi alisema vile...

Hii watu ni bure kabisaa...
Haitatokea mijanaume au mijanajike eti inafungishwa ndoa kanisa katoliki🤣

Halafu sijui watakua ni WAWATA au UWAKA 🤣
Mkuu usimwakee kiapo binadamu.
Usiseme haitakuja kutokea sema kwa Sasa haziruhusiwi kufungisha ndoa ya watu wa jinsia moja kuwa mume na mke.
Narudia tena sema 'kwa Sasa hairuhusiwi'.
 
Na wanadhani kwa upotoshaji wao ndiyo tutayumba.Tupo tumesimama imara katika Imani yetu.Proud Catholic
kuna moja hapo juu anasema eti amemuelewa sana Askofu Ruwaichi, anadai Papa kazingua 🤣

Akati Askofu Ruwaichi ameelezea kwa laugha rahisi sana kilikile alichoelezea na kumaanisha Papa...

wakatukumeni sana zingine bana inabidi kwanza ucheke 🤣
 
It's a slow process mkuu, hawawezi kuhalalisha onspot, hii ni process ya kufanya kanisa lijiingize kwenye mahusiano ya jinsia moja taratibu, na tunapoelekea RC wataruhusu ushoga ndani ya kanisa, ni swala la muda tu.

Papa ameunajisi ukristo, kubali kataa, dhambi inakemewa, haibarikiwi!
Ameunajisi ukatoliki sio ukristo, kanisa katoliki ni wauaji wa mitume wa Mungu, hakuna uhusiano wowote wa katoliki na ukisto, ndo maana unaona matendo yao hayaendani na ukiristo kabisa.
 
Mkuu mi nakiri kweli sijauona waraka husika zaidi ya kusoma taarifa zake kwenye vyombo vya habari ninavyoviamini, ila nachotaka kujua kama ushoga nao ni dhambi tu kama zilivo dhambi zingine za wizi, uongo, uzinifu nk kwanini ushoga upewe uspesho namna hiyo hadi upewe nafasi ya waraka maalum? Kwanini hatujawahi kuona ama kusikia waraka unaowataka makasisi kuwabariki wezi, wazinifu na nk. Kwanini mashoga wawe singled out
Wazinzi mbna wanabarikiwa kila siku? Tena wengine wanabarikiwa na mimba iko tumboni, wee hujui au??
 
Mkuu mi nakiri kweli sijauona waraka husika zaidi ya kusoma taarifa zake kwenye vyombo vya habari ninavyoviamini, ila nachotaka kujua kama ushoga nao ni dhambi tu kama zilivo dhambi zingine za wizi, uongo, uzinifu nk kwanini ushoga upewe uspesho namna hiyo hadi upewe nafasi ya waraka maalum? Kwanini hatujawahi kuona ama kusikia waraka unaowataka makasisi kuwabariki wezi, wazinifu na nk. Kwanini mashoga wawe singled out
Hao mashoga wanaonekana kabisa kutengwa kwenye jamii nyingi, ndio maana Papa kwa kutambua hilo ameamua kuwasogeza karibu, mwenye dhambi hatengwi hata Kristo alikuja ulimwenguni ili kuwaokoa, suala suala la uspesho ni mawazo yenu yenye vimelea vya kuwatenga mashoga, nothing else.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hao mashoga wanaonekana kabisa kutengwa kwenye jamii nyingi, ndio maana Papa kwa kutambua hilo ameamua kuwasogeza karibu, mwenye dhambi hatengwi hata Kristo alikuja ulimwenguni ili kuwaokoa, suala suala la uspesho ni mawazo yenu yenye vimelea vya kuwatenga mashoga, nothing else.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ongezaaa dosagee baba, unajuagaa kuninyooshea wanafiki uchwaraa wa Jf, yaan unajuaa kuwafurushaa hasaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wanapoteanaaa.
 
Pope Francis anajua kuninyooshea Wanafiki uchwara, kutoka bara LA giza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba Ruwaich imfikiee, aache ushambaaa, woiiiiiih
nasikia anataka kubadili gia angani, kuwa et alinukuliwa vibaya, si unajua alijiweka kimbelefront ndo papa akaja na kauli waache ushamba.
 
Mkuu usimwakee kiapo binadamu.
Usiseme haitakuja kutokea sema kwa Sasa haziruhusiwi kufungisha ndoa ya watu wa jinsia moja kuwa mume na mke.
Narudia tena sema 'kwa Sasa hairuhusiwi'.
Msingi wa kanisa katoliki ni ndoa ya me+ke ili kushirikiana na Mungu katika kazi ya uumbaji.

Sasa ke+ke au me+me ni nini 🤣

Halafu hao me+ke waliofungishwa ndoa hapo kanisani matokeo yake wanazalisha utoto Mtakatifu, viwawa, wawata na uwaka.....
Maana yake wanazaliwa mapadre, masista, mabruda, makatekista, walimu wa dini, familia na watenda kazi wa kanisa...

Sasa hii chafu ya me+me au ke+ke matokeo yake ni nini 🤣
Hiyo fanyeni nyinyi huko bana

Haitokuja kutokea kanisa katoliki
 
Back
Top Bottom