Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Wewe hujibu unahaha kuingia kwenye mfumo wa kubariki hizo unazoziita mali za mashoga. Na unateseka kweli maana ni kinyume na maadili yako ila akili yako inakataa kumpinga papa.
Nimekwambia niwekee ushahidi wako wapi Papa amesema atabariki mashoga mpaka sasa hujaweka, unazunguka zunguka tu hakuna unalojua, nami siwezi kupotezwa kifikra na mtu wa sampuli yako, nenda kwa mashabiki wenzako.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nimekwambia niwekee ushahidi wako wapi Papa amesema atabariki mashoga mpaka sasa hujaweka, unazunguka zunguka tu hakuna unalojua, nami siwezi kupotezwa kifikra na mtu wa sampuli hako, nenda kwa mashabiki wenzako.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hayaa, Nenda na baraka zako kwa mashoga. Leta waraka, leta waraka wakati unajua kulichomo humo. Ushaingia kwenye mfumo utajua mwenyewe.
 
Haitazidi miaka mitano itadhihirika Mimi na wewe unayemtetea huyo papa kuhalalisha ushoga nani hana Akili.

Mmeshawekwa kwenye Magnesight. Mnaandaliwa polepole.

Kama ungekuwa na akili hata kidogo usingeshindwa kuelewa Papa anazungumzia jambo gani
Naona sasa umejigeuza mpiga ramli, mna mihemko sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Usitumie nguvu nyingi boss. Call a spade a spade. Papa amekosea. Shida uko wapi yeye ni mtu anayefanya excretion kama wewe kukosea na kutenda dhambi ni kawaida
Mkatukumeni huwezi elewa mpaka upitie mafundisho 🤣
Hiyo kitu mfanye huko huko cantibary
 
upotoshaji wa mwendokasi.
Acha uongo,

mkatoliki hana muda wa kubishana wala kupambana na yeyote kuhusu hilo linalopotoshwa...

Mafundisho yao ni ya kiroho na kisaikolijia zaidi...
Yaani upunga ni ukiroho?
 
wa vaa makobazi tupo pembeni tunasikitika . huu mtanange umeshadadiwa na wanyoa afro
Wavaa makobazi kwanza warekebishe kitabu Chao Cha Qurani 33:37 ambapo Mtume Muhammad anamsingizia Mungu kuwa alimruhusu kuoa mke wa mtu Zainabu, pia wavaa makobazi warekebishe Quran 33:50 ambapo Mtume Muhammad anamsingizia Mungu kuwa alimruhusu kuzini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake. Wakirekebisha hayo, ndio wake ya Papa Paulo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naona sasa umejigeuza mpiga ramli, mna mihemko sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Tatizo huna maarifa.
Kama dhambi ziko nyingi. Kilichomfanya atilie mkazo kwenye ushoga ni nini kama sio kuukubali na kujaribu kuwapa moyo mashoga kuwa mambo yanaiva.

Kutambua haki za mashoga ndio kuruhusu ushoga wenyewé sijui kama unaelewa Lakini.
 
Wapi pametajwa uislam?
Au unataka kubalance?
Ni bora kuujadili ukatoliki tu,
Kwa sasa
Uislamu pia ujadiliwe Kwani inaruhusu ulawiti. Qur 2:223 inasema wanawake ni konde zenu zieendeeni konde zenu kama mpendavyo, tafsiri ya Kitabu Sabulus-Salam juzuu 3 ambapo Mtume Muhammad anasema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.

Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.

Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.

Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.

Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Labda kama wamekuharibu wewe
 
PAPA ni nguzo muhimu katika kuusimamia mfumo wa utawala wa shetani duniani, yeye akiwa kwenye upande wa dini. anafanya kazi kwa karibu sana akiwa na grey pope, na black pope.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Unacho takiwa kukijua haya yote yapo kwenye plan.. Yule papa aliye staafu alilazimisha au alistaafishwa kwa lazma ndyo papa ambae alikuwa akipiga ushonga ndani ya kanisa.. Akastaafishwa mkaletewen huyu
Yule jamaa alikua mkiristo kweli japo hakuwa na sense of humor
 
Back
Top Bottom