Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Papa ameharibu, ukizibisha wewe ni SHOGA tu.

Kwani vyombo vya habari vya dunia vinaripoti nini?
Kwa hiyo huwezi kunionesha kosa la Papa unategemea kuambiwa na vyombo vya magharibi?!

Mnaona sifa kushikiwa akili, im not scared na thinking ya wajinga wa sampuli yako.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
We na wewe huna point unajua kuandika vitu ambavyo havina mantiki ,ukiyaangalia maswali ambayo umeyaambatanisha kwenye thread Yako ni vitu ambavyo vinapingana

So Kwahiyo unaona sawa kubariki Mali za mashoga ni? Kwenye vitabu vyako ni wapi umeona kumeandikwa na (tukabariki vitu vyao ? Acha kupelekeshwa
Tatizo la akili ndogo, hata mwerevu kwenye kundi la wajinga huonekana mjinga pia.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Huyu papa ni msema kweli, hana unafiki. Tayari hawa watu wapo kwenye jamii, tulikuwa wapi tusiwazuie? Kwa kuwa tuliwaacha basi ni wenzetu na wana haki zote za kibinadamu.
 
Mkatukumeni huwezi elewa mpaka upitie mafundisho [emoji1787]
Hiyo kitu mfanye huko huko cantibary
Mi siyo wa Cantebury sema tu inatakiwa tujue amekosea na kiukweli papa ni kama alikuwa anatuandaa kisaikolojia muda mrefu na haya mambo yake alishaanza kutoa matamko tata muda mrefu
 
Pole sana denoo JG
Naona mada yangu imekuumiza sana, nisamehe bure, sikukulenga wewe binafsi au yoyote mwenye msimamo kama wako.

Mada yangu ilikuwa ni kuleta taarifa kuhusu maumivu wanayopitia wakatoliki wengi walioisikia kauli ya Papa na Vatican kutumia mwamvuli wa kanisa Katoliki kuwavuta mashoga kuwa sehemu kamili ya wakatoliki. Haijarishi utakiri hadharani au utapinga hadharani, ukweli ni kuwa kauli ya Papa kiujumla amewanyima furaha wakatoliki na kuwapa nguvu mashoga.
Sasa tatizo liko wapiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mzee mbna unachekesha sana. Khaaah
 
Naona unachanganya mambo.
Issue hapa ni kuhusu aibu na fedheha ambayo wakatoliki wanaipata baada ya Papa kuonyesha mwelekeo halisi wa kuwabeba mashoga kwa mgongo wa kanisa Katoliki. Hatupo hapa kujadili uzinzi wa Muhamad, na uzinzi wa Muhamad haiwezi kuwa jibu la hichi alichokifanya Papa.

Kuhusu Yesu na kukaa na waovu haihusiani kabisa na hichi cha Papa. Yesu aliwaendea waovu wote ili watubu na kuacha uovu wao na sio kwenda kuhalalisha uovu wao.
Utatesekaaa sanaa na badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu papa ni msema kweli, hana unafiki. Tayari hawa watu wapo kwenye jamii, tulikuwa wapi tusiwazuie? Kwa kuwa tuliwaacha basi ni wenzetu na wana haki zote za kibinadamu.
Pope Francis anakataa na kuvunja UNAFIKIII.
 
Sasa tatizo liko wapiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mzee mbna unachekesha sana. Khaaah
Hiyo comment uliyom quote ipo namba ngapi hata sijaiona, naona anajiliza liza tu hapa badala ya kujibu maswali yangu..

Analazimisha kuonekana yupo sahihi huku akikimbia kujibu maswali anayoulizwa, atakuwa mzee mwenye akili za kitoto sana.

Analazimisha nami niwe na akili kama yake kuwatenga wenye dhambi, tukishawatenga matokeo yake iweje? kwamba sisi wengine ni watakatifu sana? ajabu wakiitwa wanafiki hawaelewi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Wakaristo waumini wa Mwenyezi Mungu mmoja, tunawakaribisha katika Uislam.

Uislam ni mwema sana.
Leo wakatoliki kwa wingi na umoja wao wamesali misa na kutafakari ukuu wa Mungu.Wanasubili kwa hamu kusali vijilia ya noel na kesho krismasi.Hawana haja kujiunga na dini waliyoianzisha wao.
 
Mi siyo wa Cantebury sema tu inatakiwa tujue amekosea na kiukweli papa ni kama alikuwa anatuandaa kisaikolojia muda mrefu na haya mambo yake alishaanza kutoa matamko tata muda mrefu
sawa mkatukumeni
 
Wavaa makobazi kwanza warekebishe kitabu Chao Cha Qurani 33:37 ambapo Mtume Muhammad anamsingizia Mungu kuwa alimruhusu kuoa mke wa mtu Zainabu, pia wavaa makobazi warekebishe Quran 33:50 ambapo Mtume Muhammad anamsingizia Mungu kuwa alimruhusu kuzini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake. Wakirekebisha hayo, ndio wake ya Papa Paulo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ndoa yako na basha wako ni lini?
 
Leo wakatoliki kwa wingi na umoja wao wamesali misa na kutafakari ukuu wa Mungu.Wanasubili kwa hamu kusali vijilia ya noel na kesho krismasi.Hawana haja kujiunga na dini waliyoianzisha wao.
9Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. 11

Huko nyinyi mnafata mafundisho ya kanisa.

Mkristo mwama na anaefata mafundishao ya mwenyezi Mungu ni Muislam.
 
Screenshot_20231224-111731.png
 
1 Wakoritho 6:9-11
 
Nadhani wewe ni mkatoliki mchanga sana. Bado hufahamu chochote kuhusu muundo wa kimamlaka wa kikatoliki.

Kwa kifupi sana kuweza kukusaidia, Papa ndio msingi na mhimili wa kanisa Katoliki. Hakosolewi wala hapingwi, kauli yake ndio mwanzo na mwisho katika ukatoliki. Kwanini? Kikatoliki, Papa ndio aliyekabidhiwa 'funguo' za mbinguni na duniani, atakachokisema au kuamua ndio kinakuwa kimefungwa mbinguni na duniani!

Ukatoliki una mambo.
Siyo kweli. Kuna Papa alishawahi kufungwa jelly Hugo Ufaransa ila kanisa lilibaki salama.
 
Back
Top Bottom