denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Huyu ametawaliwa na ushabiki na mihemko, na hiyo ndio iliyomsukuma kuanzisha huu uzi wake, niko hapa namsubiri aje kujibu maswali yangu, hana dakika nyingi nitamuacha mtupu.Huwezi kunielewa ,coz dini kwako ni kama ushabiki wa Simba na yanga,huelewi chochote brother
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app