Wakatoliki wenzagu tumeshaanza kuyaandaa Machozi, kwani Mimi sipendi Unafiki na Kufichaficha nadhani Israeli hatomuacha Mtu huko Vatican

Mungu nakuomba umponye Papa Francis
Watanzania tunapenda sana Unafiki na ndiyo maana Mimi huwa Nagombana nanyi na mnaanza Kunichukia. Hivi umeshaambiwa kuwa tena na Madaktari Bingwa kabisa tena Hospitali za huko Ulaya kwa Walikoendelea na siyo Amana, Temeke au Mwananyamala tulikokuzoea kutokana na Umasikini wetu na Shida zetu kuwa tayari Figo zake zimeshafeli na kuanza kutokufanya Kazi hapo kuna cha Kungojea?

Na hata Wataalam wa Afya wanasema kuwa Figo ikifeli jua muda wowote na Ini nalo litafeli je, mpaka hapo kuna Jipya? GENTAMYCINE napenda sana Scientific Facts (japo Kiimani Mimi ni Mkristo na tena Mkatoliki kabisa) ila kwa jinsi nionavyo Wachambuzi wa Masuala ya Kiafya huko Ulaya, Marekani na Middle East wanavyoichambua hii Hali ya Papa (Pontiff) Wetu tusidanganyane wala kufarijiana uwezo wake wa kuendelea Kuishi ni 5% tu.
 
Hivi figo hawezi kubadilishiwa?
 
Kama kawaida yako unakanyagia tu
 
Kama Ulaya ndiko kuna Kila Kitu cha Kumzuia Israeli asikibonyeze Kitufe, ila wameshindwa je, kuna sababu ya Kufichana?

Hata yeye alijua kuna siku inakuja..pengine kwa hekima ya Mwenyezi Mungu, alimpa nafasi ya kujitibu roho yake maana ndio moja ya kazi kubwa ya Mwenyezi Mungu. Kutuhurumia wanadamu baada sababu ya ukosefu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…