GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama Ulaya ndiko kuna Kila Kitu cha Kumzuia Israeli asikibonyeze Kitufe, ila wameshindwa je, kuna sababu ya Kufichana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania tunapenda sana Unafiki na ndiyo maana Mimi huwa Nagombana nanyi na mnaanza Kunichukia. Hivi umeshaambiwa kuwa tena na Madaktari Bingwa kabisa tena Hospitali za huko Ulaya kwa Walikoendelea na siyo Amana, Temeke au Mwananyamala tulikokuzoea kutokana na Umasikini wetu na Shida zetu kuwa tayari Figo zake zimeshafeli na kuanza kutokufanya Kazi hapo kuna cha Kungojea?Mungu nakuomba umponye Papa Francis
Hivi figo hawezi kubadilishiwa?Watanzania tunapenda sana Unafiki na ndiyo maana Mimi huwa Nagombana nanyi na mnaanza Kunichukia. Hivi umeshaambiwa kuwa tena na Madaktari Bingwa kabisa tena Hospitali za huko Ulaya kwa Walikoendelea na siyo Amana, Temeke au Mwananyamala tulikokuzoea kutokana na Umasikini wetu na Shida zetu kuwa tayari Figo zake zimeshafeli na kuanza kutokufanya Kazi hapo kuna cha Kungojea?
Na hata Wataalam wa Afya wanasema kuwa Figo ikifeli jua muda wowote na Ini nalo litafeli je, mpaka hapo kuna Jipya? GENTAMYCINE napenda sana Scientific Facts (japo Kiimani Mimi ni Mkristo na tena Mkatoliki kabisa) ila kwa jinsi nionavyo Wachambuzi wa Masuala ya Kiafya huko Ulaya, Marekani na Middle East wanavyoichambua hii Hali ya Papa (Pontiff) Wetu tusidanganyane wala kufarijiana uwezo wake wa kuendelea Kuishi ni 5% tu.
Na Zidane?Hivi figo hawezi kubadilishiwa?
Kama kawaida yako unakanyagia tuHivi umeshaambiwa kuwa tena na Madaktari Bingwa kabisa tena Hospitali za huko Ulaya kwa Walikoendelea na siyo Amana, Temeke au Mwananyamala tulikokuzoea kutokana na Umasikini wetu na Shida zetu kuwa tayari Figo zake zimeshafeli na kuanza kutokufanya Kazi hapo kuna cha Kungojea?
tusidanganyane wala kufarijiana uwezo wake wa kuendelea Kuishi ni 5% tu.
Sawa.Safari hii moshi mweupe utokee kwa yule muafrika mweusi wa nigeria
Kama Ulaya ndiko kuna Kila Kitu cha Kumzuia Israeli asikibonyeze Kitufe, ila wameshindwa je, kuna sababu ya Kufichana?
Na zidane ndio nini?Na Zidane?
Ni Pacha ya Figo.Na zidane ndio nini?
Akina nani hao?Nimeona uko FB jamaa wanabishana
ameshakuja toka juzi wanasubiri tu kutangazaMungu nakuomba umponye Papa Francis
Wanabishana kama kafa au hajafa,hadi wanatukanana,ni katika grupu fulani uko FB,acha tu niwahifadhi.Akina nani hao?
😆😆Na Zidane?