johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama
My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!