Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,570
Baada ya gesi watanzani tutegemee maziwa kutoka kiwanda cha jiwe kule karagwe kwenye mabomba yetu nchi nzimaTPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama
My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
Sio Mitano tena ni milele kabisa.....
Uchumi wa kati......
Nchi hii ni tajiri sana.....
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu......