Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,751
- 3,698
Huu ni ulaghai mwengine na simulizi za alinacha. Maji hapa DSM kunako changia sehemu kubwa ya kodi za Tanzania hayoko sehemu zote. Wako wanaotumia maji ya madumu na vizima binafsi kwa vile hamna huduma za maji ya mtandao wa mabomba ya serikali ndio watudanganye kuhusu gesi!!!!!!!