Wakazi wa Dar es salaam kuunganishiwa mabomba ya gesi majumbani ndani ya miezi 9!

Acheni kuwadanganya wabongo,pambio hili Lina zaidi ya mitano,bado hakuna kinachoonekana ,jaribuni kwa danganya hata wengine ila siii sisi wa kila siku.
Mleta post,
ailikuwa hajazaliwa wakati wenzake walipokuwa wanaimba mapambio.
 
Mara ya mwisho nilisikia wapo kwa majaribio huko mtwara nadhani ni dec 2019.

Sijui kama ili work out na sasa mtwara wanatumia gas hiyo.

Nasubiria mrejesho..

Inatokaaa.....haitokii...
 
Kwa sasa iko kijitonyama Dar es salaam bwashee!
 
TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.

Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama

My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
Yetu macho miezi tisa watakuwa wamemaliza dsm yote,wakimaliza uje utuletee mrejesho basi.
 
Kama zile 50m zilivyofikia kila kijiji. Kama vitambulisho vya taifa tu wameshindwa ndio itakuwa gas?
Hivi we jamaa ni mtanzania kweli? Unadhani vitambulisho vya taifa huwa vinatoka kama njugu? Ipo wazi kusambaza gesi kwa Dar yote ni ngumu sababu ya mji wenu huo ulivyokosa mipangalio,lakini sioni sababu ya kubeza huu mpango kwa hoja za kizembe hivi.
 
Miezi 9 hapana kwa tabia na maarifa yetu, ila wazo zuri...
 
TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.

Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama

My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
Hivi kwa akili ya kuzaliwa unavuka Kinyerezi, Kisuguru,Tabata,Ukonga,Ubungo,Temeke, Tandika,Mbagala unaanza kupeleka Kijitonyama wakati bomba la gesi linatokea Mbagala kuelekea Kinyerezi ?
Ina maana Waziri hajui kusoma ramani ya jiji?
Makazi ya watu wengi tena wanaotumia mkaa ndio angeanzia huko.
 
TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.

Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama

My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
This will never happen to a common man at Mbagala. Target ones are big shots residing at Mikocheni, Mbezi Beach and the like areas
 
Back
Top Bottom