Kwanini kutumia gharama kubwa unnecessarily wakati gaharama nafuu zipo? Wajaze tu kwenye mitungi bei iwe rafiki; that's all hayo mabomba sio ya msingi sana kwa matumizi ya majumbani kwa eneo kama Dar ambako normal temperature ni 30 degrees Celcius.
Kazi kuiga Ulaya na Marekani ambako, kwanza miundombinu yao imekaa vizuri, town planning ni bora; huku kila mwaka ni kuvunja na kujenga upya kilichojengwa mwaka uliotangulia (Ref. Ali Hassan Mwinyi Road - Mwenge - Morocco). Muda sio mrefu hayo mabomba yatafumuliwa kama mabavyo njia ya Mwendokasi inatakiwa kufumuliwa (Ref. Jangwani).
Joto la Dar halijawahi kushuka chini ya 20 deg. Celcius wakati Ulaya/US/Canada/Russia ambako joto kufikia chini ya -10 ni kawaida wanahitaji mabomba ku-maintain living temperature. Huu ni ufisadi mwingine itakuja kujulikana huko mbeleni.