johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwenye biashara wanafanyaje pambio? ingekuwa wanakupa bure sawa. Ni grease tu ndio imekosekanaAcheni kuwadanganya wabongo,pambio hili Lina zaidi ya mitano,bado hakuna kinachoonekana ,jaribuni kwa danganya hata wengine ila siii sisi wa kila siku.
Nyie mtasubiri 500 tena.Sisi wa huku Buza tunasubiria kwa hamu
Hata kama ni biashara hawana uwezo huo!! Serikali na biashara ni kulazimisha mambo tu!! UDART, unaona inavyopumulia mashine?Kwenye biashara wanafanyaje pambio? ingekuwa wanakupa bure sawa. Ni grease tu ndio imekosekana
Mimi nikupe mfano hai nilipo nina makaazi ni eneo la mjini miaka7 sijapata huduma ya umeme, karibuni miezi kama saba iliyopita ndio naona dalili ya kupata huduma.Kwenye biashara wanafanyaje pambio? ingekuwa wanakupa bure sawa. Ni grease tu ndio imekosekana
Mtafikiwa bwashee!Sisi wa huku Buza tunasubiria kwa hamu
Bwashee kama una nyumba hapa mjini mradi huu utakufikia!Futuhi.
Hata hapo ofisini Ufipa mtapata gesi asilia bwashee!Kwanini kutumia gharama kubwa unnecessarily wakati gaharama nafuu zipo? Wajaze tu kwenye mitungi bei iwe rafiki; that's all hayo mabomba sio ya msingi sana kwa matumizi ya majumbani kwa eneo kama Dar ambako normal temperature ni 30 degrees Celcius.
Kazi kuiga Ulaya na Marekani ambako, kwanza miundombinu yao imekaa vizuri, town planning ni bora; huku kila mwaka ni kuvunja na kujenga upya kilichojengwa mwaka uliotangulia (Ref. Ali Hassan Mwinyi Road - Mwenge - Morocco). Muda sio mrefu hayo mabomba yatafumuliwa kama mabavyo njia ya Mwendokasi inatakiwa kufumuliwa (Ref. Jangwani).
Joto la Dar halijawahi kushuka chini ya 20 deg. Celcius wakati Ulaya/US/Canada/Russia ambako joto kufikia chini ya -10 ni kawaida wanahitaji mabomba ku-maintain living temperature. Huu ni ufisadi mwingine itakuja kujulikana huko mbeleni.
Bwashee kama una nyumba hapa mjini mradi huu utakufikia!
Mradi utakufikia!Nyumba yangu haimo kwenye hilo igizo.
Tena bora unyamaze kabisaa, bora atudanganye mwingine ila sii wewe tunayekufahamu.Mtafikiwa bwashee!
Mradi utakufikia!