Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,570
Baada ya gesi watanzani tutegemee maziwa kutoka kiwanda cha jiwe kule karagwe kwenye mabomba yetu nchi nzimaTPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama
My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
Kwa sauti nyororo ya "Saccos" ndugu zanguBaada ya gesi watanzani tutegemee maziwa kutoka kiwanda cha jiwe kule karagwe kwenye mabomba yetu nchi nzima
Sio Mitano tena ni milele kabisa.....
Uchumi wa kati......
Nchi hii ni tajiri sana.....
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu......
Yetu macho miezi tisa watakuwa wamemaliza dsm yote,wakimaliza uje utuletee mrejesho basi.
Kwa sauti ya Mama Samia Suluhu ... gesi hiyo KWIYO!TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama
My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
No mradi mkubwa na nchi imekuwa na miradi mingi ni wazi itachukua muda mrefu jufika sehemu nyingi za nchi , hata hiyo dar es salaam, ni miradi inayo tarajia return kuwa ya muda mrefu hivyo kuwekeza huko nako kuna hitaji nguvu kubwa , ambayo tunaweza kuwa hatuna kwa Sasa labda baada ya miaka 5-10 ijayoThis will never happen to a common man at Mbagala. Target ones are big shots residing at Mikocheni, Mbezi Beach and the like areas
Bora gesi ya kwenye mitungi, lakini hii ya bomba! itawaletea madhara.Sisi wa huku Buza tunasubiria kwa hamu
Hivi we jamaa ni mtanzania kweli? Unadhani vitambulisho vya taifa huwa vinatoka kama njugu? Ipo wazi kusambaza gesi kwa Dar yote ni ngumu sababu ya mji wenu huo ulivyokosa mipangalio,lakini sioni sababu ya kubeza huu mpango kwa hoja za kizembe hivi.
TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama
My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
Kijitonyama ndipo wanapoishi maboss wa TPDC.Mambo mengine yanashangaza kidogo, hivi Waziri Kalemani kwa nini haku hoji ni mantiki gani ilitumika kuanza kusambaza gesi Kijitonyama na kuiruka Tabata palipo jengwa matenki makubwa ya kuhifadhia gesi?
Kijitonyama ndipo wanapoishi maboss wa TPDC.
" Ubinafsi na Kujipendelea " labda nasema!
Achana naMradi utakufikia!
Hivi buza ni wilaya gani vile?
[/QUO
Wilaya katika mkoa wa kasai
Tatizo lako we jamaa unaonekana ni mswahili wa dar,umekaa kimajungujungu. Kama kukosoa madhaifu ya serikali kosoa kwa hoja zenye mashiko.Ni kutoka kama njugu ama vinapaswa kutolewa? Utanzania ni kutetea udhaifu wa serikali?
Tatizo lako we jamaa unaonekana ni mswahili wa dar,umekaa kimajungujungu. Kama kukosoa madhaifu ya serikali kosoa kwa hoja zenye mashiko.
Nilitegemea sababu Dar haijapangwa kama inavyotakiwa ukosoe kuwa huu mradi hauwezekani.