Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Ahaaa, majungu yenyewe ndio kama haya. Mimi sipo Chato wala sijawahi fika kabisa.Umeingia na marking scheme humu ndani ya kuangalia zipi ni hoja zenye mashiko? Majungu ni nini, labda uniambie ww mswahili wa Chato.
Mwezi mmoja umebaki Mkuu,hata dalili ya mtaro sioni hapa kiungani kwanguTPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama
My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
🤣 🤣 🤣Yetu macho na masikio.
Leo imepita miezi mingapi toka tangazo lako?TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama
My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
Hii ndiyo CCM halisiMwezi mmoja umebaki Mkuu,hata dalili ya mtaro sioni hapa kiungani kwangu
Train tuliambiwa December 2018 itaanza kazi Dar - Mwz mpaka leo hata dalili hakunaKama zile 50m zilivyofikia kila kijiji. Kama vitambulisho vya taifa tu wameshindwa ndio itakuwa gas?
Dah,Aisee 🤣 🤣 🙌Hii ndiyo CCM halisi
Mwezi mmoja umebaki Mkuu,hata dalili ya mtaro sioni hapa kiungani kwangu
Imejaa ulaghai tupuDah,Aisee 🤣 🤣 🙌
Wewe bado hujaunganishiwa?Leo imepita miezi mingapi toka tangazo lako?
Kwanini kutumia gharama kubwa unnecessarily wakati gaharama nafuu zipo? Wajaze tu kwenye mitungi bei iwe rafiki; that's all hayo mabomba sio ya msingi sana kwa matumizi ya majumbani kwa eneo kama Dar ambako normal temperature ni 30 degrees Celcius.
Kazi kuiga Ulaya na Marekani ambako, kwanza miundombinu yao imekaa vizuri, town planning ni bora; huku kila mwaka ni kuvunja na kujenga upya kilichojengwa mwaka uliotangulia (Ref. Ali Hassan Mwinyi Road - Mwenge - Morocco). Muda sio mrefu hayo mabomba yatafumuliwa kama mabavyo njia ya Mwendokasi inatakiwa kufumuliwa (Ref. Jangwani).
Joto la Dar halijawahi kushuka chini ya 20 deg. Celcius wakati Ulaya/US/Canada/Russia ambako joto kufikia chini ya -10 ni kawaida wanahitaji mabomba ku-maintain living temperature. Huu ni ufisadi mwingine itakuja kujulikana huko mbeleni.
Unaelewa technical side ya hilo ipoje!?TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama
My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
Kwani kwako tayari bwashee?Wewe bado hujaunganishiwa?
... kama kuna options za gaharama nafuu na haraka kwanini kwenda na option ngumu? Mkazi wa Dar anayeishi Kongowe au Kibada mabomba ya gesi yatamfikia lini jikoni kwake?hii nchi ngumu sana! kwahio waachane nayo si ndio?