Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,751
- 3,698
Sisi wa huku Buza tunasubiria kwa hamu
... kama kuna options za gaharama nafuu na haraka kwanini kwenda na option ngumu? Mkazi wa Dar anayeishi Kongowe au Kibada mabomba ya gesi yatamfikia lini jikoni kwake?
Sawasawa, tunasubiri na kusuburi na kusubiri..TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama
My take; Chadema chukueni ushauri wa maalim Seif chapeni kazi!
... kwamba unakataa kuna maskini au? Hueleweki.ivi we unadhan kila mtu aliepo dar anataka kuishi kwa mawazo yako? uwezo wako unapoishia huo ni wako usisemee wengine! alafu hii tabia ya kuelezea sjui kuna maskini sehem flan mtaacha lini? dunia mnajua inaelekea wap?
... kwamba unakataa kuna maskini au? Hueleweki.
... mahitaji ni makubwa kuliko resources zilizopo. Busara ni ipi; resources kidogo zilizopo zienda kwa wachache kwa gharama kubwa (mabomba ya gesi) au zinufaishe wengi kwa gharama ndogo (mitungi ya gesi)?hakuna nchi ambayo haina kaya maskini lakini huezi kuta wana kauli mbovu kama izi zenu: mfano NASA inapokea kila mwaka $70B kwa ajili ya kutuma rovers kwenye sayari ingine( na hata sasa wana mpango wa kubadilisha sayati ingine iweze kubeba binadam huku nyuma bado dunia ina matatizo mengi), na maskini wapo! lakini huezi kuta maneno kama haya sjui kuna maskini tusiende mbele kwanza, hizi kauli ni za kipumbavu sana
... mahitaji ni makubwa kuliko resources zilizopo. Busara ni ipi; resources kidogo zilizopo zienda kwa wachache kwa gharama kubwa (mabomba ya gesi) au zinufaishe wengi kwa gharama ndogo (mitungi ya gesi)?