Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

Rais ni John Pombe Joseph Magufuli. Huyu ni Mzalendo namba moja, mzaliwa wa Chato. Yule mwingine wakala wa beberu, mwenyeji wa Ubelgiji.
Nikikumbuka ujenzi uwanja wa ndege wa chato uzalendo wa jpm naupa 0 .00%. Jk na waliomtangulia hawakuwahi fanta ule ufisadi kamwe.bora hata kumpa kura rungwe.
 
Watanzania pamoja na juhudi kubwa za tugawanya zinazofanywa na baadhi ya watu,Kama kaskazini hawata mpa,na kule Kanda ya ziwa hats wanadaresalamu ni Watanzani ajiulize kwanini wote watake kumwadhibu yeye .Watanzania tuna Jambo letu muhimu.Oct,28.
 
Uhuru haki na maendeleo yawatu ndio muarubaini
Utakuwa umesahau istoria inatukumbusha mkoloni alikuwa amejenga reli.bandari navingine kama shule nk lakini alitunyima uhuru watu waliishi nyumba duni mavazi hovyo tulimtoa sasa nambo yote yanyofanana nahayo ni ukoloni tu
 
Uzembe wako Mkuu ndo umasikini wako.
Kama unafikili kuna Serikali itakuja ikupe maendeleo. Kama JK mlimsifia kwa pesa kuwepo, kwanini hamkutajilika wote.

Kijana pambana kutafuta furusa. Siyo kujakulalamika mtandaoni mda wote, upo twitter, Facebook, Instagram. Pote upo.
 
Maelezo kibao lakn yapo I relevant na ukubwa wa elimu unayoizungumzia, very poor understanding
 
Maelezo kibao lakn yapo I relevant na ukubwa wa elimu unayoizungumzia, very poor understanding
I relevant ndio nini? Even to type an english word is a problem to you, how then can you argue with me? Show how irrelevant they are fella. Yaonekana you're very simple minded person mpaka kushindwa kuanalyse hayo unayosema mengi, sasa mimi na wewe nani ana poor understanding capacity.?
 
DSM kuna wasomi na wanaojielewa awadanganyiki na propaganda
 
Tuna jambo letu 28.10.2020 tuache kabisa...Nyumba zetu zilibomolewa lakini kadi zetu za kupiga kura zikasalimika. Walitufukuza kazi kwa vyeti feki lakini wakatuachia kadi za kupiga kura ...Wakatudhulumu mafao yetu ya kuacha kazi wakatuachia kadi zetu za kupiga kura
 
Katika mikoa iliyoathirika na serikali ya awamu ya tano ni Dar es salaam. Kuhamisha makao makuu ya nchi kwenda Dodoma ni pigo la historia kwa wakazi wa Dar es salaam. Balozi zote zitaamua Dodoma,ikulu Dodoma,wizara zote Dodoma, mashirika ya kimataifa Dodoma, mashirika ya umma Dodoma,wafanyakazi wote Dodoma,uwanja wa ndege wa msalato Dodoma. Sasa akawadanganya kuondoa foleni dar kwa kujenga flyover,sio kweli kwanza foleni dar haitakuwepo kwani serikali inaondoka kwenda Dodoma. Kwa mantiki hiyo uchumi wa dar ikifika mwaka 2025 wananchi wengi watakuwa omba omba kwani miradi yao mingi itakuwa imekufa au haipo tena.
Magufuli amehamishiwa makao makuu Dodoma kwa makusudi kwa kutambua kuwa watu wengi waliiba fedha serikalini awamu zilizopita na kuwekeza Dar,Sasa walioiba washindwe kuwekeza Dodoma na miradi iliyopo dar ife. Kwa kifupi Dar hali itakuwa mbaya sana .tunadanganywa dar itakuwa jiji la biashara biashara ipi itajwe? Utawala huu utaacha historia dar kuweni nao makini sana.
 
Miaka 59 nchi imewashinda miaka mitano ndio wataweza . Angalia hapa ni Dar es salaam .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…