Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki ya 3 sasa hakuna maji sehemu kubwa ya jiji. Jamaa mwenye dhamana anaendelea kuupiga mwingi tu kwenye vikao vya per diem!Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme.
Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika.
Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji
Tumerudi enzi zile za Mzee Mwinyi, jiji lilikuwa na uhaba wa maji wa kufa mtu
Wakati hayo yakiendelea, umeme nao umekuwa bidhaa adimu.
Waziri wa Nishati, yeye anatoa majibu rahisi kwa suala nyeti, eti zamani umeme ulikuwa haukatiki kwa sababu watu waliogopa kukata umeme wasifukuzwe kazi. Sasa kwa nini ssa hivi umeme usipatikane?, hoja ya maintenance ni hoja mfu kwa sababu nchi nyingine zinafanya maintenence na umeme unaendelea kupatikana
CCM walitwambia katiba mpya siyo hitaji la msingi bali hitaji la msingi ni maji, Sasa hayo maji yako wapi?
Umeme uko wapi?
Nenda Magufuli nenda, umemaliza kwa ushujaa, shujaa nenda!.Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme.
Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika.
Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji
Tumerudi enzi zile za Mzee Mwinyi, jiji lilikuwa na uhaba wa maji wa kufa mtu
Wakati hayo yakiendelea, umeme nao umekuwa bidhaa adimu.
Waziri wa Nishati, yeye anatoa majibu rahisi kwa suala nyeti, eti zamani umeme ulikuwa haukatiki kwa sababu watu waliogopa kukata umeme wasifukuzwe kazi. Sasa kwa nini ssa hivi umeme usipatikane?, hoja ya maintenance ni hoja mfu kwa sababu nchi nyingine zinafanya maintenence na umeme unaendelea kupatikana
CCM walitwambia katiba mpya siyo hitaji la msingi bali hitaji la msingi ni maji, Sasa hayo maji yako wapi?
Umeme uko wapi?
Ufipa.Huo mgao wa maji wpi jama mbona kwetu maji kila siku yanatoka
Sibora huko wameacha mabomba kuna sehemu hata shimo hakunaMadale mivumoni ndio wametelekeza mibomba yao kabisa hakuna kinachoendelea
Nakumbuka B.M alikuwa na maboza kama 30 DSM, nilikuwa nayaona pale "Sayansi" yakiwa yamepaki enzi hizo.
Mkuu usitoe no utapigwa kesi ya ugaidiKufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme.
Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika.
Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji
Tumerudi enzi zile za Mzee Mwinyi, jiji lilikuwa na uhaba wa maji wa kufa mtu
Wakati hayo yakiendelea, umeme nao umekuwa bidhaa adimu.
Waziri wa Nishati, yeye anatoa majibu rahisi kwa suala nyeti, eti zamani umeme ulikuwa haukatiki kwa sababu watu waliogopa kukata umeme wasifukuzwe kazi. Sasa kwa nini ssa hivi umeme usipatikane?, hoja ya maintenance ni hoja mfu kwa sababu nchi nyingine zinafanya maintenence na umeme unaendelea kupatikana
CCM walitwambia katiba mpya siyo hitaji la msingi bali hitaji la msingi ni maji, Sasa hayo maji yako wapi?
Umeme uko wapi?
Safi kabisa alipiga pesa yake vizuriMke wa Kingunge Ngombale Mwilu hiyo biashara ya Maji ya DAWASCO ilimuingizia mamilioni ya shilingi kwani ndio ilikuwa biashara yake kubwa!!
Huku ulikuwa umekatika ni Kama nusu saa tu umerudi,tumeshazoea mgao.Mtaani kwetu maji yapo 24/7...umeme pia....na ni haya haya maji ya Dawasa (ya bomba).
MUNGU AEPUSHE MBALI HAYA MAJANGA! TUYASKIE TU KWA WATU..kitafuata ukame na uhaba mkubwa wa chakula.
Dawasa imechukuwa visima vyote vya jumuiya za watumiaji maji mitaani na wameingiza kwenye mtandao wa mabomba ya Dawasa kwa baadhi ya maeneo.Mtaani kwetu maji yapo 24/7...umeme pia....na ni haya haya maji ya Dawasa (ya bomba).