Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

Mh..! ya kweli haya..
 
Hahaha haya mkuu...kwa hiyo hayo maji ya kisima yanakuwa haya hya ya Bomba? Sio Mbaya Mungu aendelee kutusimamia tupate huduma muhimu za kibinadamu[emoji120] na kote ambapo kuna changamoto atatue[emoji120]
 
January Makamba walahi tena hafai hata kuwa mwenyewe kiti wa kijiji Baba yake anambra sana
 
Hahaha haya mkuu...kwa hiyo hayo maji ya kisima yanakuwa haya hya ya Bomba? Sio Mbaya Mungu aendelee kutusimamia tupate huduma muhimu za kibinadamu[emoji120] na kote ambapo kuna changamoto atatue[emoji120]
Kuna visima vina maji mazuri kuliko hayo yanayotoka ruvu, hayo maji ya ruvu usipoyatreat vizuri ni vichekesho hutoamini, ndio maana maji lazima uçhemshe au ununuwe maji chupa, huko duniani hawachemshi maji, unachota kwenye bomba unakunywa.
 
Dah, jana nimelala bila umeme...Joto lake sasa...nway wacha wenye kuupiga mwingi waendelee kuupiga mwingi...hakuna marefu yasiokua na ncha.
 
Sio Dar tu kwenye shida ya maji na umeme. Dodoma hii niwiki ya pili hakuna maji mpaka tumevikumbuka visima vya zamani. Umeme ndio usiseme unakatika kila siku.
 
BASI,TU KUWA NA ROHO MBAYA MTAANI..! HIVI NYUMBA KUMI ZA KUSHOTO NA KULIA ZA MTAA ZINASHINDWA KUCHIMBA KISIMA BINAFSI? MAISHA YAKAENDELEA..! NAGUSIA KWA WANAOJIWEZA KIDOGO KUCHANGIA KILA NYUMBA JPO LAKI BILA KUJALI MUDA WA KUTOA HKO KIASI.

IFIKE KIPINDI DAR TU PEKE YAKE YOTE ISITEGEMEE MAJI YA HAWA JAMAA KABISA! SJUI KWA NINI MIRADI YETU YA SERIKALI INASUA SUA SANA NA INAWEKAZA MABILLION YA PESA ZA WANANCHI, MAJI, UMEME ,MIUNDOMBINU NI SHIDA YA KILA KUCHAO! MANPOENDA KUOMBA HISANI AU WAWEKEZAJI MKUMBUKE KUWEKEZA NA KAMPUNI ZA UMEME ZIJE NA WACHIMBA VISIMA VYA MAJI SALAMA ILI TUPATE USHINDANI JAMANI! KILA SKU TUPO NYUMA SISI TU MBAKA LINI..😰
 
2021 badi CCM kwa miaka 60 wameshindwa kuweka maji na umeme wa uhakika katika capital ya nchi.

Bado hawa watu wana wafuasi wakuwapigia kura Dah!!
 
Huyu waziri hamna kitu..kaenda kuteua washikaji zake Maharage..Mafuru..et al...ukimuona utasema mtu smart si ndio huyu....kumbe sinema tu
Kanaigiza usmart sana, kumbe ni kapichu tuu,kajinga kale.
 
Maisha ni mbegu lazima siku moja itaota.
Makamba alipanda mbegu ya kumufelisha Magufuli Ili aonekane ni kiongozi mbovu.
Sasa ni zamu yake kuvuna alichopanda.

Umeme utaamua future yake.
Hakika hakika.
 
Narudia tena..

Hii nchi bila ukatili na unyama ni kujidanganya tu.

Hakuna demokrasia kwa mjinga na mpumbavu, lazima kwanza ukatili na unyama utumike nyuma yake ndio aelewe majukumu yake na kujali utu wa watu wengine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…