Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

Suala kubwa hapa ni vyanzo vya maji kwa mji mkubwa kama DSM. Tangu enzi za mwalimu kulikuwa na mipango ya kujenga bwawa la maji huko Kidunda, lakin mpaka leo imekuwa ndoto.

Kwa jiji kubwa kama DSM kutegemea kuchota maji mtoni bila kuwa bwawa la kuhifadhi ni kichekesho na udhaifu mkubwa kwa chama kilichiko madarakani tangu uhuru.

Kwa hali ya upungufu wa mvua za vuli na kutokuwepo kwa bwawa la kuhufadhia maji, uhaba wa maji hauepukiki. Swali ni je viongozi wetu wana la kujifunza au ni kukaa na kupanga namna ya kubaki madarakani?
 
'Wapinzani walituchelewsha sana' alisikika dhalim aliyeko jehanam.
Kwani ndio yuko madarakani, au umepungukiwa kusukumwa kwa nyuma na yeye hivyo umemmisi?

Ukimpenda nenda huko ahela utamkuta.
 
Mijeredi na viboko ndio stage aliyopo mtanzania ili mambo yaende na aweze kujali maslahi ya Taifa na watu wake...Bila viboko, mijeredi, unyama na ukatili, ni ngumu kwa Tanzania kufikia maendeleo tunayoyahitaji bila watu kuwa wakorofi, watata, wanyama na makatili dhidi ya makundi ya wajinga na wapumbavu..

Haiwezekani tukacheka na watu wachache wanaojineemesha na familia zao kwa kufuja mali za umma na wengine wazembe makazini na mwisho wa siku watanzania wengi kuteseka na wengine kufa kwa kukosa huduma mbalimbali.
 

Mkuu utaongea sana, utaimba sana, utalia sana, Hao unaowaambia wanajua kila kitu..Shida ni uzembe na watu wasiowajibika wapo kwa maslahi yao na hayo yooote kwao sio issue..
 
JPM alishatuonyesha mfano namna nchi hii inapaswa kuongozwa maeneo fulani na namna ya kudeal na watu fulani ili mambo yaende.... Ni wachache sana wenye mioyo ya dhati kuona watanzania wooote wananeemeka na nchi yao na nchi kusimama ikaheshimika, Wengi wao wapo kwa ajili ya maslahi binafsi na wanaowazunguka huku wakitumia rasirimali za umma kujineemesha...
 
Narudia tena..

Hii nchi bila ukatili na unyama ni kujidanganya tu.

Hakuna demokrasia kwa mjinga na mpumbavu, lazima kwanza ukatili na unyama utumike nyuma yake ndio aelewe majukumu yake na kujali utu wa watu wengine..
You are not right. Suala ni kutumia akili, jee kwa jiji la Dar kuna hifadhi ya maji? je huu ukame umeathiri vipi uzalishaji wa umeme wa maji? kwa nini uzalishaji wa umeme wa gesi uliwekwa kapuni na kwenda ku sink billions kwenye uzalishaji wa umeme wa maji wakati mito kama great ruaha inakauka? Tumekuwa chini ya chama kimoja tangu uhuru, demokrsia ya vyama vingi ilifumbua watu macho ndiyo sasa imepigwa vita bunge limerudi la chama kimoja. Sasa nani atamwajibisha mtawala? Tunahitaji demokrasia ya watawala kuwajibika kwa wananchi na si wananchi kuwajibika kwa watawala
 

Brother beliave me, hawa watu wanajua kila kitu, lazima yale yenye maslahi yafanyike kwanza then mengine baadaye... Binadamu hawa wanawaza kula tu na maslahi binafsi kuliko tunavyofikiri... watu wako tayari jambo likwame ili wao wafanye kitu...
 
Dah, jana nimelala bila umeme...Joto lake sasa...nway wacha wenye kuupiga mwingi waendelee kuupiga mwingi...hakuna marefu yasiokua na ncha.
Wanaoupiga mwingi wanawaza 2025 tu.
 
Yapangwe maandamano kumkataa makamba hakuna namna
 
Ccm imeshindwa jamani tuiondoe hawana tena uwezo wa kuiendesha hii nchi.
 
Reactions: BAK
Maji na umeme ni biashara za watu.

Watu wanarudisha biashara zao kwa kuhonga dawasco wakate maji ili wao watuuzie na ma water boozer truck yao
Aisee awamu hii mbona wamechemsha mapema sana?
 
Ccm mbereeeee kwa mbeeeeereeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…