Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

Januari Makamba waziri wenu wa Nishati , yeye anachojua ni kupost mitandaon akiwa kwenye vikao vya kahawa na wale mabeberu wa Asia.

Baada ya kuhangaika kushughulikia masuala mtambuka ya ukosefu wa umeme
Huyo tangu day one nilishaona kama tayari kafeli tu na haiwezi hii wizara
 
Huyu waziri hamna kitu..kaenda kuteua washikaji zake Maharage..Mafuru..et al...ukimuona utasema mtu smart si ndio huyu....kumbe sinema tu
Hiyo ni team yake ya upigaji
 
Ulianza vizuri, ila hapo ulipomalizia ndio umeonyesha ujinga wako wa machadema!! pambafffff!
 
Mama anatakiwa aliangalie hili kwasasa maji lita 1000 unaletewa kwa shilingi 50000 kabla ya hapo ilikuwa shilingi 15000
 
Dikteta uchwara ndio angeleta mvua?

Halafu wapinzani wameshaacha kuchelewesha maendeleo?

Kwani bunge la jiwe mpaka TBC si ni kijani sasa mnaonaje mkideal kivyenu au wenye kadi ya CCM maji na umeme wanapata free 24/7?
 
Maji na umeme ni biashara za watu.

Watu wanarudisha biashara zao kwa kuhonga dawasco wakate maji ili wao watuuzie na ma water boozer truck yao
Ni kama yalivyo malori....watu waliua reli makusudi miaka ya 90 wametengeneza hela balaa ..
 
😅😅ccm matapeli tu
 
Business as usual
 
Matatizo ya kuwa na watawala wachumia tumbo yapo mengi Sana. Bado tuna safari ndefu Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…