Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

Umesahau na kumuuliza akuonyeshe mafuso na ma power tilla
Hawa hapa.

JamiiForums-1142914621.jpg
JamiiForums-437153443.jpg
 
M
CCM ni baba jeni bai bai. Kwisha habari yenu!! Ninyi kaeni na wazee wa dini sisi tuna mbeba maono
Hahahahaaa maono ya kishoga au, kama ana maono basi hata hiyo haki anayosema yeye sio wa kwanza kuileta hapa Tanzania kuna akina Nyerere wakawatoa makaburu hapa na tukapata haki sasa yeye haki gani ataleta.
 
Hapo hakuna msaaniii hata mmoja Aisee sema ty hatuna tume huru.
 
Babako kaongea miaka 5 yote je ana jipya?, Lissu kaja juzi tu mzee wa watu anachachawa!! Ooh mara wazee wa dini, mara wasanii......mwambie atulie siasa kupokezana kuongea...asije akamponza Mwenyekiti wa Tume yetu bure maskini, atulie Ngondoigwa ipigwe!!

5 yrs anaongea wewe tu wengine kimya, Leo hii ana jipya lipi zaidi ya madaraja na reli?

Na bado wacha kampeni zianze ataganda!!
Subiri jogoo akiwika ndio mtajua simba ni nani?
 
Watu wa dini baadhi yao ndiyo wale wale waliomshitaki Yesu kwamba ni mchochezi...ati anachochea watu wasifanye kazi na wasilipe kodi..kwamba eti anazurura zurura tu.... haya ndiyo mashitaka yaliyompeleka pale msalabani kuwambwa..wala hakupewa nafasi ya kujitetea....ingawa mwenyesha mashitakawa wakati huo akagoma kutoa hati ya kifo akaamua kupeleka shauri kwa Gavana wa dola ya kirumi - Gavana. nayeye akagoma akasema sioni kosa la mtu huyu akanawa mikono yake mbele ya umati kwamba damu hiyo itakayomwagika isimuhusu yeye na kizazi chake na kugoma kabisa ku-sign dearth sentence ila wao wazee wa DINI wakawachochea wananchi kuchukua hatua mikononi Akauawa kifo va aibu....end of kwa ukombozi wetu!!

Key point: Makuhani ama Wakuu wa dini.
Mkuu umeiva kwenye maandiko.
 
Ili tuwe tunabishana tu hata kwenye ukweli na mambo ya kipumbavu siyo?

Sina Chama Ila ni mfuasi mzuri wa mtu mmojammoja, wale wote wenye akili njema, haijalishi wako Chama gani
Mpaka hapo wewe ni Lumumba fc. Huwa mnaona aibu kujitaja mnaishia kusema hamna chama.
 
Watu wa dini baadhi yao ndiyo wale wale waliomshitaki Yesu kwamba ni mchochezi...ati anachochea watu wasifanye kazi na wasilipe kodi..kwamba eti anazurura zurura tu.... haya ndiyo mashitaka yaliyompeleka pale msalabani kuwambwa..wala hakupewa nafasi ya kujitetea....ingawa mwenyesha mashitakawa wakati huo akagoma kutoa hati ya kifo akaamua kupeleka shauri kwa Gavana wa dola ya kirumi - Gavana. nayeye akagoma akasema sioni kosa la mtu huyu akanawa mikono yake mbele ya umati kwamba damu hiyo itakayomwagika isimuhusu yeye na kizazi chake na kugoma kabisa ku-sign dearth sentence ila wao wazee wa DINI wakawachochea wananchi kuchukua hatua mikononi Akauawa kifo va aibu....end of kwa ukombozi wetu!!

Key point: Makuhani ama Wakuu wa dini.
Hiki kisa kinashabihana na kisa cha TL hakika Mungu wa mbinguni ambariki Lissu
 
Back
Top Bottom