Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

Hii inaitwa kukata tamaa
False expectations; Lissu hapo alipo hajawahi kuvuta umati uliokuwa unavutwa na Lowassa, Slaa na Mrema. Subiri filimbi ya mwisho; Tanzania ina watu milioni sitini; siyo elfu moja moja unayokuwa unaona hapo. Halafu hiyo ni wakati ni yeye tu ndiye anayepita na kujianadi wakati wenzie hawajaanza gemu.
 
Kila nikifikiria 2015 mahaba yangu niliyahamishia kwa EL dah! Kwa sasa hata card ya mpiga kura sina wala sijisumbui kuitafuta . Endeleeni tu na hayo makumi,mamia na maelfu . Nimebakia kuwa mpenzi mtazamaji wenu 😝😝😝
 
False expectations; Lissu hapo alipo hajawahi kuvuta umati uliokuwa unavutwa na Lowassa, Slaa na Mrema. Subiri filimbi ya mwisho; Tanzania ina watu milioni sitini; siyo elfu moja moja unayokuwa unaona hapo. Halafu hiyo ni wakati ni yeye tu ndiye anayepita na kujianadi wakati wenzie hawajaanza gemu.
Jamaa ameshachuja hata kabla ya kipyenga kupulizwa.
 
Hivi kwa akili zenu mnajidanganyai lissu atapata kura za kumtosha? Ameachiwa uwanja peke yake sasa hivi na bado anakusanya umati hafifu kama ule.Subiri kipenga kipigwe mtamkimbia mgombea wenu kwa aibu.
Lissu hakodi Mafuso hao uaowaina ni watanzania wanaotaka kubadilisha nchi hii fo the better
 
Hamna hata wasanii hapo wa ‘ubongo wa fleva’? Je bongo movie?? Hamna hata watu waliolipwa kufika hapo jamani? Hii ya Lissu ni kali kuliko.
 
Lissu kazuiwa njiani bwashee atafika hapa soon! Vijana wa Chadema tupo imara.

Tembelea kule kwa Godlisten Malisa uone kafanikiwa kuchangisha Tshs milioni 75 ndani ya siku chache
Vizuri sana
 
Ulitaka wafanye ya Sabaya bwashee. Mimi Sabaya nina ushahidi wa wazi kuwa ni mvuta bangi na genge lake ninawajua wote! Happi havuti bangi na mbaya zaidi anajenga makundi ndani ya CCM! Happi na Ridhiwani hawasalimiani bwashee.
Bwashee Acha banaa Yaani Swahiba wangu Hapi hasalimiani na Kaka yetu Dindili?!!!

Mbona Sabaya huwa ana allergy na Moshi,hyo bhange itakuwa ya kutafuna km UBANI(bubble gum)?!!!

Bwashee bnaaa
 
Back
Top Bottom