Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

M
CCM ni baba jeni bai bai. Kwisha habari yenu!! Ninyi kaeni na wazee wa dini sisi tuna mbeba maono
Hahahahaaa maono ya kishoga au, kama ana maono basi hata hiyo haki anayosema yeye sio wa kwanza kuileta hapa Tanzania kuna akina Nyerere wakawatoa makaburu hapa na tukapata haki sasa yeye haki gani ataleta.
 
Hapo hakuna msaaniii hata mmoja Aisee sema ty hatuna tume huru.
 
Subiri jogoo akiwika ndio mtajua simba ni nani?
 
Mkuu umeiva kwenye maandiko.
 
Ili tuwe tunabishana tu hata kwenye ukweli na mambo ya kipumbavu siyo?

Sina Chama Ila ni mfuasi mzuri wa mtu mmojammoja, wale wote wenye akili njema, haijalishi wako Chama gani
Mpaka hapo wewe ni Lumumba fc. Huwa mnaona aibu kujitaja mnaishia kusema hamna chama.
 
Hiki kisa kinashabihana na kisa cha TL hakika Mungu wa mbinguni ambariki Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…