Chui nae alionekana salasala.hadi wapate iyo sindano si atakua kajeruhi wengi hivi unajua nyati aki charge kichaa chake kinakuwaje wabongo bwana kila kitu mnafanya siasa hilo eneo lote lilikua mapito ya wanyama wala sio zamani sana ndio mana nazani mwaka juzi walionekana tembo mitaa ya mbezi temboni kwa mbele kule jamaa wa tanapa akaelezea vizuri kuwa binadamu wamejenga kwenye corridors za kupita wanyama
Hivi alikuwa Chui kweli yule? Maana kuna jamii ya paka wa kawaida wapo kama chui ila ni Paka.Chui nae alionekana salasala.
Hawamjui Mbogo , Jf imeboa aisee kila kitu siasa
Inakuwaje Anti- robbery unit itumike? Mali asili walikuwa wapi? Huyo mnyama si jambazi na hakupaswa kupigwa risasi. Ni utaalamu wa Mali asili ungetumika na kumrudisha anakostahili. Hili ni doa jingine kubwa. Tunasomesha wataalamu wasiotumika wanapohitajika.
Ninesikitika sana kuuwawa kwa huyo mnyama, nadhani wataalamu wetu wako dhaifu sana kukabiliana na wanyama.
Poleni majeruhi, nyati mmoja ni hatari kuliko wakiwa kundi
Watu wa mali asili wameondoka naye.....Madale kumbe bado Porini.
Inatisha inawezekana mambo ya numba na ngaye za uchaguzi,huyo nyati sijui ametoka pori gani la akiba bila kuonekana,pori la karibu ni saadani ,sasa kutoka saadani hadi madale ina maana hapa kati kati hakuna aliyemuona? Na mara nyingi nyati hutembea kwa makundi possible bado kuna nyati wengine ukanda wa Madale.
HahahWanaume wa Dar mnakubali vipi mboga ilete taharuki namna hii?
Hapana mkuu,huyo nyati angeweza kukamatwa na kurudishwa porini bila shida,ila ndiyo hivyo askari wetu wamefundishwa kutumia nguvu kubwa hata kwa tatizo dogo,si tunaona jinsi wanavyowashughulikia wapinzani wasio hata na kiwembe mkononi? Ukijikuna tu unakula shaba dadeki!!
Hapana mkuu,huyo nyati angeweza kukamatwa na kurudishwa porini bila shida,ila ndiyo hivyo askari wetu wamefundishwa kutumia nguvu kubwa hata kwa tatizo dogo,si tunaona jinsi wanavyowashughulikia wapinzani wasio hata na kiwembe mkononi? Ukijikuna tu unakula shaba dadeki!!
wewe mtaalam wa mtandaoni, nyati katinga kwenye makazi ya watu na ameshasababisha hasara na madhara kadhaa kwa mifugo, askari wa wanayamapori wana kambi gani dsm hapa!!!! si wanaishi porini kwenye wanyama huko??Hapana mkuu,huyo nyati angeweza kukamatwa na kurudishwa porini bila shida,ila ndiyo hivyo askari wetu wamefundishwa kutumia nguvu kubwa hata kwa tatizo dogo,si tunaona jinsi wanavyowashughulikia wapinzani wasio hata na kiwembe mkononi? Ukijikuna tu unakula shaba dadeki!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Picha ya nyati akiwa jirani na makazi ya Almas tafadhali
chui kweliHivi alikuwa Chui kweli yule? Maana kuna jamii ya paka wa kawaida wapo kama chui ila ni Paka.
Nyati utamkamata vipi?Hapana mkuu,huyo nyati angeweza kukamatwa na kurudishwa porini bila shida,ila ndiyo hivyo askari wetu wamefundishwa kutumia nguvu kubwa hata kwa tatizo dogo,si tunaona jinsi wanavyowashughulikia wapinzani wasio hata na kiwembe mkononi? Ukijikuna tu unakula shaba dadeki!!
Umeambiwa maofisa wa wanyama pori au anti robbery ndio waliofanya hivyoNilivyoona tu kuna Mnyama Pori kaonekana nikajua ufumbuzi pekee walionao Watu wetu ni kumuua.
Hivi hawa Maofisa wa Wanyama Pori huwa hawana kabisa mafunzo ya kukamata Wanyama walioingia kwenye makazi ya Watu?. yaani kuua iwe ni hatua ya mwisho?.