Wakazi wa mkoa wa Kagera ni washirikina sana tofauti na tunavyowachukulia

Wakazi wa mkoa wa Kagera ni washirikina sana tofauti na tunavyowachukulia

Kule uchawi wao ni wa kutafuta pesa tu kukuta kijana mdogo ana gari za kutosha hiyo ni kawaida tu
 
Na kuna uwezekano mkubwa sana kwamba wachawi wengi hapa Tanaznia nao walishakimbilia makanisani kwenda kujificha humo; kwa kweli tuna hali mbaya mno!
Na ogopa sana watu wa makanisani na misikitini mchawi anaenda huko kwa kinga ili mkimsema ni mchawi apate watu wa kumtetea
 
Isiombe ukakutana na watu wa Karagwe,kykerwa,Muleba wengi wao utajiri na elimu zao wanazipata kutumia uchawi in short uwezi jua mpaka uwe na jicho la tatu
Ni kweli mkuu mi nimeishi nkwenda huko kuna ndago za hatari wenyeww wanaita freemason japo ni ndago tu
 
Ni kweli mkuu mi nimeishi nkwenda huko kuna ndago za hatari wenyeww wanaita freemason japo ni ndago tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mwamba nilisoma nae yupo nkwenda aliacha shule Form 1 sasa hivi anapesa hatari
 
Back
Top Bottom