Wake za watu acheni vijana wa watu, tulieni kwenye ndoa zenu

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,474
Reaction score
10,518
Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa.

Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai utasema ulikumbwa nanini sema tu.
Unaleta aibu kutwa kuwaza vitoto vya watu. Huna aibu . Unavurugwa vurugwa kila area unakomaaa kisa mivitu ya watoto wadogo.

Unalia usiku eti nini mama watoto unasema maisha kumbe kitoto cha elfu mbili kinakuvuruga akili. Sijui kimekuambiajeee . Unalia eti . Halafu mkija kuuliwa mnashangaa kumbe hamna aibu.... .

Tulieni kwenye ndoa zenu kuna paipu za betri nunua ukichoka hiyo original kushinda kupangwa. Mnakeraa sana
 
Waambie hao, kuna mshangazi ananitishia anasema siku nikimuacha lazima mmoja kati yetu afe mimi au yeye, akishindwa kuniua atajiua yeye , yani napitia msongo wa mawazo natamani nihame mkoa
 
Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa.

Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai utasema ulikumbwa nanini sema tu.
Unaleta aibu kutwa kuwaza vitoto vya watu. Huna aibu . Unavurugwa vurugwa kila area unakomaaa kisa mivitu ya watoto wadogo.

Unalia usiku eti nini mama watoto unasema maisha kumbe kitoto cha elfu mbili kinakuvuruga akili. Sijui kimekuambiajeee . Unalia eti . Halafu mkija kuuliwa mnashangaa kumbe hamna aibu.... .

Tulieni kwenye ndoa zenu kuna paipu za betri nunua ukichoka hiyo original kushinda kupangwa. Mnakeraa sana
nini humo kimetokea
 
Back
Top Bottom