SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
- Thread starter
- #41
Shida yako nini wewe nuksi sihangaikagi na minuksi mimiTatizo mwandiko unaenda mbele na kurudi nyuma, km kaandika kibogoyo 😹
Shida yako nini wewe nuksi sihangaikagi na minuksi mimiTatizo mwandiko unaenda mbele na kurudi nyuma, km kaandika kibogoyo 😹
Nilijua umeanza dose ss hivi umetulia, kumbe bado wadudu hawajakubali dawa..!! 😹Shida yako nini wewe nuksi sihangaikagi na minuksi mimi
Nina maex 50 utanikubali😁😁Umeshakutana nami sema TU hujajua 😜
Yaani.. "ridhikeni na mishahara yenu''Aliyeelewa anieleweshe..!!