Wake za watu acheni vijana wa watu, tulieni kwenye ndoa zenu

Wake za watu acheni vijana wa watu, tulieni kwenye ndoa zenu

Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa.

Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai utasema ulikumbwa nanini sema tu.
Unaleta aibu kutwa kuwaza vitoto vya watu. Huna aibu . Unavurugwa vurugwa kila area unakomaaa kisa mivitu ya watoto wadogo.

Unalia usiku eti nini mama watoto unasema maisha kumbe kitoto cha elfu mbili kinakuvuruga akili. Sijui kimekuambiajeee . Unalia eti . Halafu mkija kuuliwa mnashangaa kumbe hamna aibu.... .

Tulieni kwenye ndoa zenu kuna paipu za betri nunua ukichoka hiyo original kushinda kupangwa. Mnakeraa sana
Unique Flower
 
Wewe umejuaje mkuu
 
Wanangu pelekeeni moto wanawake zenu, mkishindwa vijana watabeba majukumu yenu. Unacho muonea aibu mwanamke wako kumfanyia ndio hicho anapewa na bwana mdogo kitaa tena wana kamia balaaa.

NB: Mke wa mtu ni sumu ila sio mwanamke wa mtu tuelewane hapo. Hajaongelewa hawara hapa wala danga
 
Kwa mara ya kwanza ndo nimeona masawe Yaani mchaga mjinga kabisaa Duniani.wachaga wengi Wana akili,wewe wa wapi???
Eti wachaga wengi wana akili, acha ushamba we bwege, mchaga yupi nchi hii ana akili? Yupi amekuwa kiongozi wa maana? Wachaga ni wachuuzi flani, tena hakuna mijitu mijinga km hao, nenda kwao au ni moja wao. Mwangalie Mrema wenu nyie nyumbu sahivi. Sifa za kipumbavu.
 
Kwa mara ya kwanza ndo nimeona masawe Yaani mchaga mjinga kabisaa Duniani.wachaga wengi Wana akili,wewe wa wapi???
Unamkumbuka Augustine Lyatonga Mrema alichokifanyia TLP? Na je ht James Mbatia na NCCR-Mageuzi umemsahau? Wachaga ndio wa hovyo kabisa, mwanzilishi wa hiyo chadema yenu Edwin Mtei alifukuzwa ugavana BOT na baba wa Taifa kisa wizi na kuisaliti nchi kwa vipande vya Rupia. Wachaga wanachoweza uwizi, magendo, ukwepaji kodi, dhuluma, ukabila, kujisifu km mazuzu. Kinachowafanya wajisifu kila mara ni inferiority complex, hawajiamini.
 
Mkuu Ushauri wako ni mzuri bila shaka wamesoma na kuelewa! Labda hapo kwenye betri ndiyo kumewachanganya.
Ila na sisi wababa tuhakikishe tunawahudumia vizuri wake zetu ili wasichukuliwe na vijana.
 
Unamkumbuka Augustine Lyatonga Mrema alichokifanyia TLP? Na je ht James Mbatia na NCCR-Mageuzi umemsahau? Wachaga ndio wa hovyo kabisa, mwanzilishi hiyo chadema yenu Edwin Mtei alifukuzwa ugavana BOT na baba wa Taifa kisa wizi na kuisaliti nchi kwa vipande vya Rupia. Wachaga wanachoweza uwizi, magendo, ukwepaji kodi, dhuluma, ukabila, kujisifu km mazuzu. Kinachowafanya wajisifu kila mara ni inferiority complex, hawajiamini.
Ni washirikina sana wana roho mbaya sana
 
Back
Top Bottom