SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Tulishapiga hesabu kutokana na makusanyo ya TRA... Ndani ya miaka 3 na kidogo tunamaliza deni, hata tundu lisu analijua hilo ndio maana anashauri Mama apewe mitatu ya mpito bila uchaguzi... Hataki kuingia ikulu na deniKumbuken nchi inadaiwa trilion 97.35
Paipu ya energy + panadol za vijana wa elf2Eti paipu ya betri!!!!
Unakutana na "bumbu" limechakazwa mno kisa hiyo mipaipu ya betri.
nini humo kimetokeaMtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa.
Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai utasema ulikumbwa nanini sema tu.
Unaleta aibu kutwa kuwaza vitoto vya watu. Huna aibu . Unavurugwa vurugwa kila area unakomaaa kisa mivitu ya watoto wadogo.
Unalia usiku eti nini mama watoto unasema maisha kumbe kitoto cha elfu mbili kinakuvuruga akili. Sijui kimekuambiajeee . Unalia eti . Halafu mkija kuuliwa mnashangaa kumbe hamna aibu.... .
Tulieni kwenye ndoa zenu kuna paipu za betri nunua ukichoka hiyo original kushinda kupangwa. Mnakeraa sana
Wasivivulie vitoto vyao nguo. Ni aibu.Aliyeelewa anieleweshe..!!
Tisha mno🙌Ila ndoa za siku hizi zinatisha sana
Mimi hadi naogopa jamani mh😢😢Tisha mno🙌
Noma sana!Paipu ya energy + panadol za vijana wa elf2