Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Hii nakubali.
Mwezi uliopita mshkaji wangu kala mke wa mchungaji kwenye kongamano Mwanza. Mama mchungaji katokea Singida, wamejuana na jamaa siku hiyohiyo na chupi akavuliwa siku hiyohiyo.

Huyo mchungaji sijui alikosea wapi akaoa mnyaturu.
 
Siyo lazima wasafiri, mbona humu humu mjini wanapinduka tu. Unadhani nani anataka kula wali maharage kila siku? Iko siku anataka kustua nyama choma na viazi vya kukaanga, na kuteremsha na ka beer.

Mpe/mfanyie au waachie wenzako wamfanyie.
 
Hii nakubali.
Mwezi uliopita mshkaji wangu kala mke wa mchungaji kwenye kongamano Mwanza. Mama mchungaji katokea Singida, wamejuana na jamaa siku hiyohiyo na chupi akavuliwa siku hiyohiyo.

Huyo mchungaji sijui alikosea wapi akaoa mnyaturu.
povu natoa, kila kabila wanaotafunwa kimasihara wapo. Sema siku hizi maadili ya ndoa yameporomoka, wake za watu wanatoa uroda kwa yeyote mwenye kumtimizia haja zake
 
Miiko na maadili ya ndoa sikt hizi hakuna. Mke wa mtu anatoa uroda kwa yeyote atakayemtamani hata kama hana pesa. Shamba boy anaweza kutunukiwa penzi na mke wa mtu na ikawa siri yao, ukute baba mwenye mke hapeleki moto vema, mke anajiongeza atimiziwe haja zake
 
Kwa kifupi ni kwamba kama una akili timamu huwezi kuishi na mke mgawa uroda kwa mwingine, huo ni umalaya ni bora uachane naye haraka yasije yakatokea madhara waseme ni wivu wa kimapenzi. Fukuzilia mbali akafanye umalaya wake kwa uhuru huko kwao
 
Umasafiri na malaya wewe...
 
Mmeanza tena kututisha...
 
UKITAKA KUJUA HILI, FUATILIA WALIMU WAKIENDA KUSIMAMIA MITIHANI. KUANZIA DARASA LA NNE, DARASA LA SABA, FORM TWO, FORM FOUR NA FORM SIX. HUWEZI AMINI YANAYOTOKEA HUKO. TUVUMILIANE TU NDIO MAISHA TULIYOCHAGUA HAYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…