Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hofu inatokana na udhaifu ...ulimpata.mwanamke kwa kumshawishi kwa kuhonga na mali sio kwamba alikuwa na hisia na weweUoga wenu tu mzee, unahisi unachapiwa kila muda. Huyo mke ni kicheche kiasi gani?? Na hii ndio sababu wanawake wanawaendesha saana maana wanaona jinsi mlivyo na hofu na mashaka juu yao.
Ondoa hiyo akili ya kuchapiwa chapiwa kila saa.
Mkuu hapa biblia haisemi kwamba ni kitu chema (haiungi mkono jambo hilo) umepotosha maandikoHaya maneno ya Quran?
Sura ya ngapi?
Aya ya ngapi?[emoji2][emoji28][emoji1787]
Reference ya uislam ni QURAN
Mfano ukisoma Mwanzo 4:19,16:1-4,29:18-29,......biblia ipo wazi kuhusu kuoa wake wengi,ila WAPUMBAVU wachache kwenye ukristo,hawaamini kwenye kuoa mke zaidi ya mmoja
Ukiangalia hapo,unaona Yes!,uislam upo mbele ya muda
Kenge wewe!Alikuwa anakudanganya huyo ni sex worker mara mke wa mwarabu mara yuko bize. Huyo hata mbeya ukimtaka atakufata ukisema uko kigoma pia utamkuta😅😅😅😅
Basssi mke wangu akisafiri namtuma ndogo wake wa kiume amlinde...bodyguard.Kila nikisafiri lazima nipate kamchumba kwenye katika basi.
Atamla na yyBasssi mke wangu akisafiri namtuma ndogo wake wa kiume amlinde...bodyguard.
Hapa ni kula uliwe! Hata baadhi ya wanaume ni mulemule!Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia.
Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana.
Kama ilivyo kwa wanaume akifika Dom au Dar au Mwanza, anatafuta chaka analolijua au part-time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili.
Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad.
Usiku mwema, make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia.
🤣😅😆Atamla na yy
Ukumbuke huyo mdogo wake ni shemeji yako. kumbuka mwenye dada hakosi shemeji!Basssi mke wangu akisafiri namtuma ndogo wake wa kiume amlinde...bodyguard.
Hallelujah umetiiisha tumalize threadsKufuli linaloweza kufunguliwa na kila FUNGUO halina thamani Ila funguo inayoweza fungua Kila Kufuli Ina thamani kubwa💪
Umesahauuu newton's thrrd law of motion eeNi ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia.
Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana.
Kama ilivyo kwa wanaume akifika Dom au Dar au Mwanza, anatafuta chaka analolijua au part-time ndivyo hali ilivyo mbaya upande wa pili.
Wanawake zetu wanatoka mpaka na mtu waliyokutana nae siku hiyo hiyo kwenye gari so sad.
Usiku mwema, make wife wako hana vituo vingi njiani labda inaweza saidia.
We kubalii tuu mkuu m wala sjhawahi kulipingaa hiliiSahihisha heading mkuu ianze Kwa kusomeka
"Mke wako akipata safari"....
Watapewa ukimwi shauri zaosioo hioo tu
Kuna wanawake wanajifajya wako close na past wa kanisaaaaa
Wale ma past single waogopesana
Mkeo anaakka 11 anawahi kanisan anaenda pigwa pushup kwa mch
Saa moja anambiwa awahi kanisan anapewa cheo flan kusimamia labda wapanga viti nk.....
Anaaaaaitwa mwingine mpaka saa mbili anaondoka anakuja mwingine mpaka saa tatu past yuko ndan saa tatu na nusu mnaamka kabisaa na kupiga makofiii ..........nyokoonyokoo ameingiaaaaa nykonoommmm ameingiaaa
mkuu kama mwanandoa na mkeo yuko makundi hayo juu
Kazini
makanisan
we simama na Mungu wako jiombee mwisho mwemaa..wanaume wengi malaya src n haya mambo ya wake zao
Senetor:
pdidy
Umeshaamka we bibiUislam Mwema sana.
Miaka 1,400 nyuma umekataza mwanamke kusafiri peke yake, haturuhusiwi kusafiri bila kufuatana na mume au mtu wa karibu tuliyeharamishiwa kuolewa nae (maharam).
Ukimwona mwanamke wa Kiislam anasafiri peke yake ujuwe huyo hafati Uislam.