Wakenya Jifunzeni kupika chakula kizuri nimechukizwa sana

madem wa kenya ni weusi mno,
 
Laiti kama English ingekuwa first language apa Nchini au tu ipewe kipaumbele leo, Tz ingekuwa most visited country E.A
Hata sasa hivi Tanzania ndio inaongoza kwa kutembelewa na watalii wengi na kupata pesa nyingi zaidi kwenye utalii.
 
Wakenya badilikeni bwana ndio msosi gani huu sasa

 
Ungeenda Uganda au Rwanda sijui ungeandika nn, Uganda vyakula vinachanganywa, ukiagiza chakula utawekewa matoke ugali, magimbi na wali kwny sahani moja, hawauzi chakula cha aina moja.(kwa rrstourant za kawaida hotel kubwa sina uhakika)
Rwanda wao tatizo uchafu, acheni utani hao watu usafi ni cheche!!
 
kuna mjaluo hapa jirani ni maafa mume mkikuyu mke mjaluo sielewagi hii ni ndoa au ni uwanja wa vita?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
staki kukumbuka kipind nafanya biashara yan nikiwaza safar ya Kenya nilikuwa nakosa raha kabisa...
 
Kuna jamaangu alisoma Uganda akaniambia unashangaa hawa wakenya ukienda Uganda ndo utakoma.nilishangaa sana tujipongeze kwakweli watanzania tunafahamu mapishi matam tam
 
Mbona.hata tz vilevile huko pwan ndio wanajali mambo.msosi na wanapika balaaaa

Hata ukitazama migahawa ya watu.wa pwan au wapemba duuh

Ila twende mbele na kuludi nyuma kitmoto malidhawa inapatika kaskazini na nyanda ya juu kusini (mbeya na kilimanjaro) wanatengeneza kitimoto bhana ,mchicha pemben na ndizi

Vile vile kanda ya ziwa hawa jamaaa samaki wanazitendea haki vukila supu ya sato ni balaaa

Ila pwan ni funga kaz wali,mboga aina zote nk
 
Wakenya na jiko wapi na wapi...wao wanapika wali na hoho karoti kitunguu maji na nyanya huo mchanganyiko sijawahi kuuona tena alafu ndio msos eti[emoji23][emoji23]
Shenzi kuna demu mmoja mkenya alinialika ndio kitu alipika nilishindwa kucheka
 
No English no service, teh
 
Hahahahahahaha lol! ulikula chakula gani Mkuu? Bokoboko? Ila kusema kweli vyakula vyetu Wabongo bomba sana na wanawake wa kibongo kukkangiza mahanjumati wanaweza sana. Umeshawahi kuona misosi ya kisomali? Ina mafuta ya kuchuruzika nina marafiki zangu wa kutoka huko huwa nawatolea nje kwenye vyakula vyao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…