Sahani20
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 1,518
- 741
madem wa kenya ni weusi mno,Nilikutana na maofisa wa Immigration kutoka Nigeria walikua wanatembelea East Africa, walikaa Nairobi na Mombasa wakaja Tanzania na baada ya hapo walikua wanaelekea Uganda. Waliniambia kwa msosi bwana Tanzania, walichanganyikiwa na kiepe, totoz wanasema watoto wazuri lakini lugha ndiyo inaweka mipaka.